joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Ulitaka wakenya wote waliohudhuria waonyeshwe na kuhojiwa kwenye TV?, hiyo ni akili au tope?Mbona namwona mkenya mmoja tu? Huyo mmoja ndiye wasema ya kwamba wakenya wamemiminika tz kumsindikiza jpm?
Kuwa serious wewe
Ona vile unafiki ulivyokujaa, hata aibu huna..Sisi hatujuani wala kutajana kwa makabila yetu, huyo ni mkenya
Kwhyo hilo neno kumiminika ulilitumia km source tu kw habari, manake ulichokiandika na ukichokileta haviendani kabisaUlitaka wakenya wote waliohudhuria waonyeshwe na kuhojiwa kwenye TV?, hiyo ni akili au tope?
π π π πChezea wajaluo wewe[emoji1787][emoji1787]
Sisi makabila ni kwa ajili ya kutaniana sio kubaguana kama ninyiOna vile unafiki ulivyokujaa, hata aibu huna..
Mbna wazee wa kaskazini wanaporudi makwao msimu wa sikukuu huaga mnawataja kw majina gani km sio "wachaga"
Umesha change gear hewani tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sisi makabila ni kwa ajili ya kutaniana sio kubaguana kama ninyi
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hata sisi tunampenda sana Uhuru KenyataWakenya wanampenda sana Magufuli.
Hivi wangari masai nae aliondoka kwa covid?Nipe tofauti kati ya huyu