joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mtajaribu mengi ili mhalalishe ushamba ambao huwa unafanywa na dikteta wenu Jiwe. Uhuru Kenyatta ni rais, ila ni binadamu kama mtu yeyote mwingine. Hamna cha ajabu hapo, cheche za matusi hata rais Trump huwa anarushiwa kila uchao. Cha muhimu ni reaction ya rais U.K, ambaye hadi sasa hivi amefanikiwa kulinda haki msingi za wananchi, kama ilivyo kwenye katiba ya Kenya. Ili hao hao wanaomtusi wawe na uhuru wa kutoa maoni yao.
Hii Ruto camp inapoelekea si kuzuri waangalie 2022 Uhuru atakuwa decision maker! Naskia tu PPI? what's PPI?Hili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na uhasama miongoni mwa jamii zake.
Kama kawaida ya wakenya kujifanya wajuaji, waliendelea kupinga na kujenga hoja za kitoto kutetea kitendo hicho, tayari yale tuliyowaambia yanaanza kujitokeza, Kenya ukabila hauwezi kupungua, badala yake utazidi kuongezeka.
Kenya haiwezi kuwa salama. Kila kabila linajiona na haki zaidi ya kabila lingine, sioni vile ambavyo wanaweza kuekewana hawa wakenya.Hii Ruto camp inapoelekea si kuzuri waangalie 2022 Uhuru atakuwa decision maker! Naskia tu PPI? what's PPI?
Kweli nyani halioni kundule. Siku hizi mbona ni kawaida tu hapa Tz kumsikia fulani akichapia cha kwao, au mimi naota.Hili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na uhasama miongoni mwa jamii zake.
Wacheni maneno yenyu mingi banaHili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na uhasama miongoni mwa jamii zake.
Kama kawaida ya wakenya kujifanya wajuaji, waliendelea kupinga na kujenga hoja za kitoto kutetea kitendo hicho, tayari yale tuliyowaambia yanaanza kujitokeza, Kenya ukabila hauwezi kupungua, badala yake utazidi kuongezeka.
Tumia akili japo kidogo, Tanzania hatuna tatizo la ukabila, hivyo hata mtu akizungumza kikabila haina athari yoyote. Magufuli ni mtu anayependa utani sana, anajaribu kuzungumza lugha za makabila tofauti tofauti kulingana na enelo au mtu anayezungumza naye, kumbuka hapa Tanzania, makabila ni kwa ajili ya kutaniana tu, si vinginevyo.Kweli nyani halioni kundule. Siku hizi mbona ni kawaida tu hapa Tz kumsikia fulani akichapia cha kwao, au mimi naota.
Hii Ruto camp inapoelekea si kuzuri waangalie 2022 Uhuru atakuwa decision maker! Naskia tu PPI? what's PPI?
Aisee, unawaeleza wenzako watumie akili kisha unatupia comment ya kipumbavu kama hii hapa? Pumba za aina hiyo hutazisikia kutoka kwa dropout wa darasa la nne.Tumia akili japo kidogo, Tanzania hatuna tatizo la ukabila, hivyo hata mtu akizungumza kikabila haina athari yoyote. Magufuli ni mtu anayependa utani sana, anajaribu kuzungumza lugha za makabila tofauti tofauti kulingana na enelo au mtu anayezungumza naye, kumbuka hapa Tanzania, makabila ni kwa ajili ya kutaniana tu, si vinginevyo.
Makabila eti ni ya kutaniana tu..Tumia akili japo kidogo, Tanzania hatuna tatizo la ukabila, hivyo hata mtu akizungumza kikabila haina athari yoyote. Magufuli ni mtu anayependa utani sana, anajaribu kuzungumza lugha za makabila tofauti tofauti kulingana na enelo au mtu anayezungumza naye, kumbuka hapa Tanzania, makabila ni kwa ajili ya kutaniana tu, si vinginevyo.
Hili la kuendekeza lugha za makabila katika ofisi na mikutano mbali mbali ya kisiasa, tuliwaonya sana majirani wetu kwamba ni jambo la hatari sana, hasa katika nchi ambayo imekumbwa na ukabila na uhasama miongoni mwa jamii zake.
Kama kawaida ya wakenya kujifanya wajuaji, waliendelea kupinga na kujenga hoja za kitoto kutetea kitendo hicho, tayari yale tuliyowaambia yanaanza kujitokeza, Kenya ukabila hauwezi kupungua, badala yake utazidi kuongezeka.
Kwasababu uwezo wenu wa akili ni mdogo sana, huwezi kuelewa " high voltage points" kama hizi. Haiwezikani hadi karni hii ambapo binadamu anajiandaa kwenda sayari ya "Mars", wakati kuna viumbe aina ya " monkey" bado wanabaguana kwa makabila yao, bado anajaribu kujilinga na " Civilized" person. Stupid.Aisee, unawaeleza wenzako watumie akili kisha unatupia comment ya kipumbavu kama hii hapa? Pumba za aina hiyo hutazisikia kutoka kwa dropout wa darasa la nne.