Wakenya wamtukana Uhuru, wasema ni mlevi na kichaa, wachukizwa kwa kutumia lugha ya Kikuyu Mara kwa mara

Makabila eti ni ya kutaniana tu..
Watu upande wa kilimanjaro wanatunishiana misuli kisa ukabila
98% ya watanzania hawajui kabila la rais Mwinyi wala rais Mkapa. Hivi kwa watu wenye akili, waliostaarabika na kuelimika, kabila hasa lina maana gani zaidi ya kutaniana?
 
We kama huna kabila africa ni mtumwa tu, unapagawa na mila za wengine..
Hii ni mipaka tu tulichorewa, lkn watu watu wana mila zao
 
Back
Top Bottom