joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #21
98% ya watanzania hawajui kabila la rais Mwinyi wala rais Mkapa. Hivi kwa watu wenye akili, waliostaarabika na kuelimika, kabila hasa lina maana gani zaidi ya kutaniana?Makabila eti ni ya kutaniana tu..
Watu upande wa kilimanjaro wanatunishiana misuli kisa ukabila