kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
wakenya wanapenda sana kutafuta mafanikio kwa njia za ushirikina ila ni waoga sana wa mambo ya ushirikina.
nataka niwasimulie kisa cha kweli kinachomuhusu rafiki yangu mmoja mkenya.ni kisa kilichotokea miaka mitatu iliyopita nikiwa naishi nairobi.
kilimtokea katika gorofa alilopanga pale roysambo....kulikuwa na mfululizo wa matukio kadhaa ya uhalifu ambapo wakora(wahalifu/wezi m/vibaka) walikuwa wanavunja milango au kufuli na kuingia ndani nyumba ili kuiba asset zote muhimu ikiwemo tv screen.
siku moja yule rafiki alikuja kwangu eneo la buruburu (buruu kama wanavyotamka wenyewe)....akanihadithia madhira wanayokumbana nayo wapangaji na wasiwasi waliokuwa nao kuhusu usalama wa asset zao.
nikamwambia dawa ni ndogo....wakenya ni waoga sana wa ushirikina na wanaamini sana uwepo wa nguvu za kichawi.
kila siku kwa siku tatu mfulizo awe anawasha udi (udi is an incense stick mostly used by arabs and some swahili people of the coast.....they believe its scented smoke can attract,awaken or remove jinn spirit).
awe anawasha udi na kuuweka katika dirisha ambalo lipo jirani na mlango wake ili ule moshi uweze kutoka nje na kusambaa mpaka nje kwenye stairs na corridor za jengo.
alifanya kama nilivyo mshauri,basi unaambiwa ghafla kuna watu pale gorofani wakaanza kumuogopa kwa kudhani yeye ni mkenya mchawi.
siku ya pili yake kuna vijana ambao walikuwa wamepanga chumba cha jirani na yeye,walihama ghafla kwa kumugopa yule jamaa.
baadae ikaja kugunduliwa wale vijana ndio waliokuwa wanaendesha zoezi la kuibia wapangaji wenzao katika lile jengo kwa kuvunja milango mida ya mchana ambapo wapangaji wengi wanakuwa makazini.
unaambiwa mlango wa kuingia kwake ulikuwa hauguswi.....vibaka walikuwa wanaogopa moshi wa udi wakiamini kwamba jamaa ni mchawi[emoji23] [emoji23]
NB:
ifahamike tu kwamba kiwango cha uhalifu wa kuvunja katika majumba ya watu(burglary),kwa Nairobi kipo juu sana.unaweza ukaondoka asubuhi ukiwa umeicha subule yako salama lakini ukarudi jioni usikute kitu sebuleni...wamesafisha kila kitu mpaka masofa.
tazama hii....[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]