kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,746
- Thread starter
- #21
wewe nawe unachuki zako binafsi tu na raila.Kenya wakishajua unatembelea wachawi au una uhusiano nao watu wanakudharau sana, hawakuchukii, wanakudharau tu, tena live! Ndo maana unamuona Raila akisumbuka sana kama kuku mweusi aliyekatwa shingo!