FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #21
Duh, kuna yule mkenya alifanya utafiti akagundua kuwa 8/10 Kenyans are thieves,
Ule utafiti uliletwa hapa jf majamaa yalianza kutafutiza picha za albino na kuzileta humu hadi mods wakadelete Uzi.
Haya majamaa ni majizi sana.
Hata hapa wameanza kuweka picha za Albino kwa kuona aibu.
Sasa wizi wako umefika pabaya, mpaka maiti wanawaibia. Hawa soon tutasikia wanakulana wenyewe kwa wenyewe.