Wakenya wanaibia mpaka maiti

vipi ww bibi jihadi, hebu tujuze albino wanaendeleaje huko tz maana huyu naskia mlikula pindi alivorejea tu! duhhh mnachefua etiiii... View attachment 443777

Hivi albino wa kenya wako salama, kuwapiga picha za albino beauty contest sio kusema wako salama. Ni tatizo hata kenya lipo, na mnalijua.
 
Uwongo... Msituletee ushetani wenu huo

Duh umekibilia huku kweli huna kazi, ushetani mnao na mnaujuwa, albimo wa kenya wako kama wa Tanzania tuu they're all facing the same problems.
 
Duh umekibilia huku kweli huna kazi, ushetani mnao na mnaujuwa, albimo wa kenya wako kama wa Tanzania tuu they're all facing the same problems.

Pass... No debate there.
 
Hahaaa... Chicago ya Mwananyamala kwa kopa. Tunakuona. Uwongo huo mtupu
huko nyumbani tz napo kuna Chicago!!??by the way nazungumzia Chicago ya hapa US npo Illinois pande za naperville
 
Hawa wameiba mpaka Brazil Olympics.
 
Hivi pia nikikusaidia wasema ni povu? Haya basi mie nimejitolea kukuservice for free.
Nairobi walker mi napita ngoja nishuke kwenye hili basi la mwendokasi halafu Nita comment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…