Wakenya wanaibia mpaka maiti

...HUWA NAPENDA SANA UANDAAJI HABARI WA JIRANI ZETU WA KENYA.....NDO MAANA HUWA SIKOSI KUANGALIA TAARIFA ZAO...JAMAA WAKO VIZURI MNO...HONGERENI SANA WANAHABARI WA KENYA ( K24, NTV, CITIZEN, KTN nk).
 
Mi Na watch series mpya inaitwa "Hooten and the Lady"
Sasa after nimecheki hio habari eti 'tuliambiwa tukuje treasure hunt, tuliambiwa tutapata treasure za wajerumani" hahahahaha
 
kweli Kenya ni ujambazi na ujambazi ni Kenya huwezi kutenganisha kabisa juzi Brazil kwenye Olympic wameiba mpaka jezi na viatu maafisa wa michezo wakuu wamekamatwa wamejificha uvunguni huko Brazil wakiwakimbia police kwa ujambazi.

Kenya mnatuaibisha Africa mnatutia aibu kabisa majambazi wa kuzaliwa .
 
...HUWA NAPENDA SANA UANDAAJI HABARI WA JIRANI ZETU WA KENYA.....NDO MAANA HUWA SIKOSI KUANGALIA TAARIFA ZAO...JAMAA WAKO VIZURI MNO...HONGERENI SANA WANAHABARI WA KENYA ( K24, NTV, CITIZEN, KTN nk).
Unapendaga zile kauli zao NGOJA NIMEZE MATE KIDOGO yaani hapo anapunzika,
 
Hivi albino wa kenya wako salama, kuwapiga picha za albino beauty contest sio kusema wako salama. Ni tatizo hata kenya lipo, na mnalijua.

Wapo salama salmini!...ule ushenzi wenyu wa UCHAWI ni wenyu watanzania pekee yenyu.
 
Duh umekibilia huku kweli huna kazi, ushetani mnao na mnaujuwa, albimo wa kenya wako kama wa Tanzania tuu they're all facing the same problems.

Husiwaaminishe watu upuzi wenyu enyi WACHAWI wa South.
UCHAWI NI WENYU NA MMEBOBEA KWENYE FANI HII....kuwatafuna albino ni hulka yenyu,
kalb wahed.
 
Wewe mama jihadi umeolewa? Nyege hukusumbua sana - tafuta mwanaume mzuri barobaro akupe service utulie.
Mbona km mnaekikimbia kivuli chenu wenyewe vile,au hii habari unaikataa kuwa haitoki kunya opps Kenya
 
Nishakueleza mara nyinigi tu to mimi sipo hata bara la AFRIKA ewe maskini wa kutupwa hohehahe nyani la KIBANTU.
Upo next level sa hv umeenda kuibia wa majuu ila hata uende kuish Venus ww ni mkenya specialist wa wizi umeenda kukuza fani tu bora maskini mie kuliko tajiri wewe mkwapuaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…