We tia pua yako ukiona wanaponda alafu uone km yatakufikia ya wapi.
Manake watu kukosoa serekali kw nchi ambazo wananchi wake bado wana chachu ya maendeleo huaga n kawaida, km vile desturi yani..
Upande wa south ungeliskia mkulu anasema wanatumwa na mabeberu hao waje watuchafulie nchi yetu..kw sisi hku tumezoea na tunaona kawaida, nchi zilizoendelea tu wanakosoa mpka kesho sisi ndio tujidanganye eti tumeridhika km nyie mlivyolishwa pumba na marehemu.
Ndio manake kufikia sasa mawaziri waliokua wakimsifu wanajitoa mmoja mmoja