joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Hivi ni kitu gani kinachosababisha wakenya kushindwa kuingia barabarani na kumuondoa Uhuru Kenyatta kama walivyofanya Sudan kwa Omar Albashir?, kulalamika kwingi bila kuchukua hatua madhubuti hakutowasaidia, hao ni mafisi sio rahisi kuacha mzoga.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app