Ishowspeed huyu kijana leo yupo kenya na mfahamu huyu kijana ana wafuwasi wengi duniani kwenye mitandao ya kijamii.
Ishowspeed anaonyeshwa jinsi kenya ilivyo ,kuhusu wanyama,chakula,maisha na mji wa Nairobi ulivyo.
Ingekuwa kwetu huyu jamaa ungeshangaa kafikishwa ofisi za basata ,huku TCRA wakimsubiri na drone zake.
Ishowspeed angefika tanzania wanaccm wote wangejitokeza utazani wanajua ni mwenyekiti wao.
Bora ujafika tanzania.Maana wema sepetu angejifanya anakujua sana.