sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
hao ndio chadema aka nyumbuzzz wanakwambia wanataka uhuru na haki lkn hawataki diamond ajichagulie chama sa sjui uo uhuru na haki wanaopigania ni upi?Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Ni uchawi uchawi tu wa mijitu meusi mkuuMpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Tatizo ni umaskini wa fikra,watu fukara siku zote humchukia aliyenacho,wao furaha yao,wanataka akose wawe mafukara wote,sasa wakiona dogo,aliyeishia la saba,toka familia maskini,mitaa ya Tandale anazidi kupaaa na kuwa na mkwanja mrefu,roho zinawauma,Mond sasa hv hapa bongo ana mkwanja na hadhi kama waziri mkuu,Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
hao ndio chadema aka nyumbuzzz wanakwambia wanataka uhuru na haki lkn hawataki diamond ajichagulie chama sa sjui uo uhuru na haki wanaopigania ni upi?
Kwani yule mwijaku aliyegombea Ubunge kwa Tiketi ya CCM ni CHADEMA? Ali Kiba Team ni CHADEMA ?hao ndio chadema aka nyumbuzzz wanakwambia wanataka uhuru na haki lkn hawataki diamond ajichagulie chama sa sjui uo uhuru na haki wanaopigania ni upi?
Wabongo shida tu, hawana sera zaidi ya kurudishana nyuma. Utagundua hili ukianza kutoka kimaisha, yaani hadi wale waliokiwa wanakusuport mwanzo wataanza kukupiga majungu unaringa, unakiburi na nla bla kibaao.Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Wabongo shida tu, hawana sera zaidi ya kurudishana nyuma. Utagundua hili ukianza kutoka kimaisha, yaani hadi wale waliokiwa wanakusuport mwanzo wataanza kukupiga majungu unaringa, unakiburi na bla bla kibaao.Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
mkuu,, wabongo wana roho mbaya sana aisee....Wabongo shida tu, hawana sera zaidi ya kurudishana nyuma. Utagundua hili ukianza kutoka kimaisha, yaani hadi wale waliokiwa wanakusuport mwanzo wataanza kukupiga majungu unaringa, unakiburi na nla bla kibaao.
Yaani ss tunapenda tuone mtu anahangaoka ila hatimizi ndoto zake. then tunakuwa nae na kumsuport daily, akichomoza tu, tunaanza kuumia roho.
Bongolala roho mbaya ingekuwa Kenya ni nchi ya maana inayoelewea mimi maisha yangu ningefanya Kenya maana kidogo naona hamna ule uchawi ambao Tanzania tupo naoMpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Nyie ndio mna roho mbaya mna wasanii wazuri ila mnashindwa kuwapigania .mkuu,, wabongo wana roho mbaya sana aisee....