Hujui Watanzania kwa chuki na wivu. Kunagenge linaitwa Chadema. Ninkarakana ya ShetaniMpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Nimekutana na hii petition mpya ambayo inataka ku reverse ile petition inayotaka Diamond kutolewa kwenye tuzo.
Kwenye petition hii nmeona pia wakenya wamo, hii picha hapa kuna mkenya utaona kasaini.
Wa tz tupi bize kushushana tu bila kuangalua uhalisia, Hivi kweli mlitaka Diamond akatae kumpigia show Magufuli, Hajipendi??
chng.it/QfvbjKNbP2
View attachment 1811802
Nani ambae sio mpambanaji? Eti huelewi kwani hujasoma sababu kwenye ile pertion?Mpaka sasa sijaelewa kwanini mnampiga vita huyu dogo, ni kweli ana mapungufu kama binadamu yeyote ila ni mpambanaji na ametoka mbali sana kwenye maisha duni kule Tandale, tumpeni support, tumpigie kura kama wana Afrika Mashariki.
Ulifanya juhudi gani kumpinga Magufuli?Waache ujinga ,Mondi lazima awajibike na alipe gharama za kuwa sehemu ya Serikali ya uovu na utekeji