Wakenya wanaofanya kazi Tanzania ndio wanaotuma pesa nyingi Kenya (remittances) kwa Afrika nzima

Wakenya wanaofanya kazi Tanzania ndio wanaotuma pesa nyingi Kenya (remittances) kwa Afrika nzima



MY TAKE; Uchumi wa Kenya hutegemea Sana "remittances", zaidi ya $3B huingia Kenya kila mwaka. Remittances zinazidi Pato la Utalii na Pato la mauzo ya maua kwa pamoja.

Remittances toka Tanzania ndio zinazoongoza kwa Afrika, hii maana yake ni kwamba, uchumi wa Kenya unategemea Sana mahusiano mazuri ya Kenya na Tanzania, hii ndio sababu kubwa ya wakenya kumkubali Sana mama Samia kwasababu ameshikilia hatma ya uchumi wa Kenya.

Bila ya Tanzania, uchumi wa Kenya unasambaratika
Tony254
dyfre
Don YF
NairobiWalker
pole sana you wish
 
Kwa hivyo kwa akili yako mgando, profit zinatengenezwa na makampuni pekee? Individuals hawawezi kutengeneza profit sivyo? What a low iq comment from you?
Individual kenyans in Tanzania are workers they dont make profit they earn a salary in accounting terms those are two different things.
 
Back
Top Bottom