Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
amani itoke wapi huko ulipopataja? watumie ayo madola sasa warejeshe anani na kutokomeza ugaidi na bandits 🐒Ccm ime-invest ktk ujinga. Jana nimemsikia kiongozi wao mmoja kipindi cha The Big Agenda starTv- pumba tupu-. Anaulizwa ccm ni jambo gani wanaloweza kusema wamefanikiwa sana ktk miaka 47, anasema ni kudumisha amani na utulivu. Hivi Kenya hakuna amani? Rwanda hakuna amani? Au nje ya afrika mashariki, Botswana, Egypt, Vietnam, mMalasya etc hakuna amani? Yaani ccm wanatuambia ili tuwe na amani lazima tuwe masikini. Sasa unaambiwa jirani yako tu Kenya diaspora wana-remit trillion 10 while wa kwako wana-remit trillion 0.7 unjitetea eti sisi tuna amani. Hii ni akili au tope?
watu hawana hata ardhi amani watapataje, unauza na kuwekeza kila kitu then unategemea uwe na Amani, ndezi kweli 🐒
Tz hakuna Tamaa ya fedha wala mali za diaspora, walete home wasilete ni uamuzi wako 🐒
hatuwezi kuwaruhusu wanenu wanauojifunza upuppet huko ng'ambo watuletee ukoloni mamboleo na kuvuruga Amani baadae...
Hilo haliwezekani kamanda 🐒
R.I.P. Laigwanan Comrade ENL