Wakenya wanaoishi nje ya nchi hutuma trilioni 10 nchini kwao, Watanzania hutuma bilioni 700, tukifata ushauri wa Lowassa kuhusu elimu, tutafikia Kenya

amani itoke wapi huko ulipopataja? watumie ayo madola sasa warejeshe anani na kutokomeza ugaidi na bandits ๐Ÿ’
watu hawana hata ardhi amani watapataje, unauza na kuwekeza kila kitu then unategemea uwe na Amani, ndezi kweli ๐Ÿ’

Tz hakuna Tamaa ya fedha wala mali za diaspora, walete home wasilete ni uamuzi wako ๐Ÿ’

hatuwezi kuwaruhusu wanenu wanauojifunza upuppet huko ng'ambo watuletee ukoloni mamboleo na kuvuruga Amani baadae...

Hilo haliwezekani kamanda ๐Ÿ’

R.I.P. Laigwanan Comrade ENL
 
Hapa wanasiasa waliotoboa kimaisha kwa fedha za umma wakisikia dual citizenship wanachanganyikiwa kabisa. Siasa za kijamaa zilitufanya tuwe mazoba full.
 
Bongo naona wenye moyo wa kuzamia ni watoto wa uswazi, na mbaya zaidi wengi wanazamia South Africa kupata greener pastures lakini mwisho wa siku kutokana na kukosa professional background yoyote, hawawezi kuwa na impact kubwa sana

Professionals ni wachache sana wenye ndoto za kutoka nje kutokana na kukosa exposure, naamini kwa wakenya ni rahisi kuwa na ndugu diaspora kuliko bongo hivuo, inspiration ni rahisi kupata

Ila kwa sasa naona kuna agencies za vijana za kuwapa watu scholarships, labda baada ya muda tutaikubali hii culture
 
We umeshatuma kiasi gani kutoka ughaibuni?

Kama watu wapo hapahapa na wanapesa ila hawasaidiani, unatarajia waende ughaibuni ndo watume pesa nyumbani?

Watu wapo hapahapa na wanapesa angalia ni kiasi gani cha pesa kinaenda kijijini kwao kusupport maendeleo. Alafu unatarajia waende ughaibuni ndo watume pesa?

Kuna ndugu yupo Canada ila anatuma ela ya kusafisha mashamba yake tu.

Hatuna huo utamaduni
 
akili za kimatako hizi, India ndio inaongoza kupokea pesa nyingi za Diaspora wao, India ndio inaongoza Duniani, Vipi kuna Vita India? Hizi ndio akili wakina Makona wanapeda, akili za mavi

halipo la kujifinza kutoka India kabisaaaa๐Ÿ’

India tumepeleka vijana wetu masomoni na wameuawa na wengine wamejeruhiwa vibaya sana ni sawa tu na Kenya, ubaguzi ni kiwango cha juu sana, ayo madola yanaweza kusaidia kurekebisha hiyo hali?๐Ÿ’

None sense..


R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Wanajivunia huo ujinga kwasababu sio hali ya kawaida wao kuendelea kuwepo madarakani pamoja na ubovu walio nao.kwahiyo ukimya wa watanzania kwao ni mafanikio.wangekua kwenye nchi zenye wananchi serious wangeshafurushwa madarakani kitambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kakudanganya nani Tz kuna amani kuliko pengine duniani? Tz kuna utulivu amani hakuna kwa sbb haki hakuna
kungekua hakuna haki pasinge kua na Amani.
wew ugombane na girlfriend wako uje hapa ulalamike kwamba Tz hakuna haki wala amani hiyo si sawa.
hilo ni jambo binafsi tafuteni namna binafs mlitatue๐Ÿ’

Tanzania itaendelea kuwekeza kwa kiasi kikubwa sana kwenye Amani na Utulivu. Na hatuta ona haya wala kusita kuchukua hatua kali sana kwa yeyote atakae jaribu kuichezea na kuhatarisha Amani nchini ๐Ÿ’

hao diaspora waendelee na diaspora wao huko huko hatuna umuhimu na sanaa zaidi ya waTanzania wengine ๐Ÿ’

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kwamba hawataki uraia pacha kwa kuwa CCM itaondolewa madarakani?
 
Wewe akili zako ni ndogo.unafikiria hapa karibu tu ndo maana huna mawazo makubwa yakusaidia hii nchi miaka mingi ijayo.Unasahau kua utakufa na huna utakachokua umeisaidia nchi yako zaidi ya kua chawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulichosema kuhusu professionals ukweli kabisa. kuna lijamaa nalijua aisee lile jamaa ni nondo mbaya mno very competent na savy kwenye mautafiti. alikataa kazi Ulaya kisa baridi
yupo bongo apa anadhulumiwa tu pesa projects na kuhangaishwa na serikali ya ccm. namuonaga mjinga sana.
wakati mwingine ananipiga mm mzinga mbeba tofali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ