Wakenya wanaoishi nje ya nchi hutuma trilioni 10 nchini kwao, Watanzania hutuma bilioni 700, tukifata ushauri wa Lowassa kuhusu elimu, tutafikia Kenya

Wewe akili zako ni ndogo.unafikiria hapa karibu tu ndo maana huna mawazo makubwa yakusaidia hii nchi miaka mingi ijayo.Unasahau kua utakufa na huna utakachokua umeisaidia nchi yako zaidi ya kua chawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan hao unawashadadia wamesaidia nini kwao mbona vurugu tupu πŸ’

Hatuwezi kuiga none sense matters kutoka popote πŸ’

Nisaidie nchi kiaje? na hapa nafanya nini kama sio kuzuia mawazo ya kizandiki kuvuruga amani nchini petu?
Na hamuezi kufanya kitu wala kwendra popote πŸ’

wewe ni ndungu yake Mungu hutakufa 🀣

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Uliponikuna mm ni kwenye mtaala hapo ndo chanzo cha matatizo yote.Pitia huo mtaala ambao utaanza soon ni kituko na sijui kwa nini viongozi wetu hawataki kujifunza kwa majirani zetu.hata nchi kama malawi wako vizuri lkn Tz ni shida tupu
 
Unachokisema ni kweli, na kheri huyo aliyefuatwa, kuna watu hatari kichwani lakini unakuta wanatumika kwa bei ndogo sana sanaa na wengine wamafanya kazi behind the scene halafu sifa wanapewa watu wengine..

Hii nchi ukiwa brilliant na kupata gap nje, bora uondoke ili ukirudi na pesa. Unakuwa na njia nyingi za kufanya unachotaka ila ukitaka uanze toka chini, ni ngumu sana kutoboa maana waliokaa juu hawatokubali ufike juu maana ni threat kwa positions zao
 
Ww uko uliko unatumaga shingap nyumban kwenu
Na km utumi nyumban bas unatumaga kias gan kwa ndugu na jamaa uko kijinini tuanzie apo kwanza
 
hapo nimebold mkuu umenigusa sana. kuna mtu wangu wa karibu umemgusa
 

Lifting The Dreams Of Kenyan Students Abroad



View: https://m.youtube.com/watch?v=yChHbA8bPsg
more info :

The KENYA Airlift Program was founded in 2018 by two Kenyans; Mr. Bob Mwiti, the Managing Director Appstec America and Hon. DMK Kiogora the Member of County Assembly Abogeta West, Meru County.

The duo had a vision of impacting the lives of bright needy Kenyan youth.

Mr. Mwiti who relocated to USA in 2009 as an international student had a very challenging journey through the process, from getting denied visa 4 times to graduating and not being able to find work immediately, before he secured employment as a System Analyst with some of the Fortune 500 companies in the US. It’s from these challenges that he cofounded The KENYA Airlift Program together with Hon. DMK. Kiogora.

On the other hand, Hon DMK while on a trip to USA 2018, was inspired by the many Kenyans who had achieved the American dream, and during that trip he was introduced to Bob with whom he shared his vision of helping the Kenyan youth. Due to financial challenges faced during the relocation process, he formed the Airlift Sacco to finance the relocation expenses for the students in the program...

Source : The KENYA Airlift Program
 
Tanzania ni afadhali ukaulizie bangi kituo cha Polisi kuliko kuomba Passport Uhamiaji, ukiwa Mhindi, Mwarabu, Msomali kuipata ni faster tu.
Ngoja uwe Mmatumbi halafu jina muonekano, au uwezo ufanane na nchi jirani zenu...yani cha moto utakiona
 
Tanzania ni afadhali ukaulizie bangi kituo cha Polisi kuliko kuomba Passport Uhamiaji, ukiwa Mhindi, Mwarabu, Msomali kuipata ni faster tu.
Ngoja uwe Mmatumbi halafu jina muonekano, au uwezo ufanane na nchi jirani zenu...yani cha moto utakiona

Ni ushamba mwingi wenyewe wanaona ni uzalendo, kumbe ni uzalendo uchwara wa roho mbaya
 
hapo nimebold mkuu umenigusa sana. kuna mtu wangu wa karibu umemgusa
Ndio maisha ya mjini mkuu, watu wengi wanaojipa promo kwenye media hadi kukabidhiwa nafasi kubwa kubwa. Wengi ndio biashara zao na mbaya zaidi watu smart sana huwa wanajali sana kazi kuliko maslahi yao ndio maana mwisho wa siku wananyonywa sana.
Ila tutafanyaje mkuu, tuishi humo tu
 
Wabongo tusivuokuwa waaminifu usidhutu kabisa kutuma hela home tz ukiwa majuu utakuja kulia na roho yako. Hawa ndugu hovyo kabisa uaminifu -100.
 
Naam
 
Naona ata Somalia inatuzidi kupoke
Mkuu naona ata Somalia inatuzidi kupokea pesa za ndugu zao walioko nje.Je,na Solamia wana elimu nzuri kuliko ya Tanzania? Wakati mwingine kuna haja ya kujua mambo haya kwa undani au kuuliz aili mtu upate elimu.
 
Siki wajinga mkiisha au mkitoweka,Tanzania itapiga hatua kimaendeleo.
acha kuishi kwa wazazi mtu mzima wewe, home kwa wazazi huwezi piga hatua kimaendeleo utaishia kudeka tu πŸ˜€

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Naona ata Somalia inatuzidi kupoke

Mkuu naona ata Somalia inatuzidi kupokea pesa za ndugu zao walioko nje.Je,na Solamia wana elimu nzuri kuliko ya Tanzania? Wakati mwingine kuna haja ya kujua mambo haya kwa undani au kuuliz aili mtu upate elimu.
Sisi tuchague engo ya elimu, ulitaka tukateke meli kama wasomali
 
Umeme na sukari imetushinda ......wana ccm washaandaaa power bank ya kuchaji train ya umeme.......maendeleo hayana chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…