Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah! Hata Botswana wametushinda!Kwa mtu ambaye anajifananisha na Kenya katika Mashindano haya ni kwamba hajui na hafanyi due dilligence.....
Ni kwamba katika Olympic Kenya is the leading Country in Africa..... That's a Fact...; Haya mambo hauvai viatu tu na kuanza mbio ni practise ya mwaka mzima na jamii kupenda aina fulani ya mchezo hata Kenya ni sehemu fulani ndio wanatoka sana wanariadha (wameshaamini kwamba that is their God given Right)
Hata Jamaica ka Kisiwa kadogo ila kuna kipindi walikuwa wataalamu wa mbio fupi..., Ndio hivyo kila mtoto akizaliwa ana ndoto ya kuwa Bingwa wa Mbio fupi..., kama ilivyokuwa States kipindi fulani kila mtu mweusi akizaliwa anataka kuwa Michael Jordan...Daah! Hata Botswana wametushinda!
Ngoja kwanza tufunge gap. 😁😂Tatizo taifa letu halija-priotize mchezo fulani kuwa huo ndo tutembee nao. Sisi tunataka tufanye kila kitu.
Wakenya na Ethiopia wao wako busy na riadha, Egypt soka, South Africa cricket, USA na sasa Sudan huwaambii kitu kwenye basketball.
Sijui sisi shida yetu ni nini kushindwa kuwekeza kwenye boxing ambako tunafanya vizuri kuliko mataifa mengine ya Afrika. Eti tunang'ang'ana na soka ambalo hatuliwezi na pengine it's not our God-given talent. Kama siyo ujinga ni nini?
Tofautisha kusemwa na kuambiwa ukweli.
Wametuambia ukweli Kuna msemo ukweli mchungu nahisi ndicho unachopitia
Mbona unaleta habari zisizohusika na Olympic ya Paris?![]()
26 Kenyan Runners Receive Doping Suspensions This Week - The Running Channel
The Kenyan runners received provisional suspensions because of doping offences, while the 10km world record holder gets a six-year ban in big crackdown on doping in Kenya.therunningchannel.com
Huo ndiyo mchezo wao siku zoteMbona unaleta habari zisizohusika na Olympic ya Paris?