Wakenya wanavyotusema kuhusu Olympic ya Paris

Wakenya wanavyotusema kuhusu Olympic ya Paris

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
9,524
Reaction score
13,682
Eti sisi ni watu wa kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake!
 
Kwa mtu ambaye anajifananisha na Kenya katika Mashindano haya ni kwamba hajui na hafanyi due dilligence.....

Ni kwamba katika Olympic Kenya is the leading Country in Africa..... That's a Fact...; Haya mambo hauvai viatu tu na kuanza mbio ni practise ya mwaka mzima na jamii kupenda aina fulani ya mchezo hata Kenya ni sehemu fulani ndio wanatoka sana wanariadha (wameshaamini kwamba that is their God given Right)
 
Daah! Hata Botswana wametushinda!
 
Daah! Hata Botswana wametushinda!
Hata Jamaica ka Kisiwa kadogo ila kuna kipindi walikuwa wataalamu wa mbio fupi..., Ndio hivyo kila mtoto akizaliwa ana ndoto ya kuwa Bingwa wa Mbio fupi..., kama ilivyokuwa States kipindi fulani kila mtu mweusi akizaliwa anataka kuwa Michael Jordan...

Haya mambo yana pillars nyingi sana na moja wapo ni personal motivation ya wanajamii ingawa facilitation pia ni muhimu (ila kuwa na mashule sasa hivi hata viwanja vya michezo hawana utaona kwamba hii kitu sio kipaumbele) mnavunja open spaces zote mnaweka masoko ya machinga... (utaona kwamba kipaumbele ni kuwa wachuuzi)
 
Tatizo Tanzania haija-priotize mchezo fulani kuwa huo ndo itembee nao. Tanzania inataka ifanye kila kitu.

Wakenya na Ethiopia wao wako busy na riadha, Egypt soka, South Africa cricket, USA na sasa Sudan huwaambii kitu kwenye basketball.

Sijui Watanzania shida yenu ni nini kushindwa kuwekeza kwenye boxing ambako mnafanya vizuri kuliko mataifa mengine ya Afrika?

Eti mnang'ang'ana na soka ambalo hamliwezi na pengine it's not your God-given talent. Kama siyo ujinga ni nini?
 
Tatizo taifa letu halija-priotize mchezo fulani kuwa huo ndo tutembee nao. Sisi tunataka tufanye kila kitu.

Wakenya na Ethiopia wao wako busy na riadha, Egypt soka, South Africa cricket, USA na sasa Sudan huwaambii kitu kwenye basketball.

Sijui sisi shida yetu ni nini kushindwa kuwekeza kwenye boxing ambako tunafanya vizuri kuliko mataifa mengine ya Afrika. Eti tunang'ang'ana na soka ambalo hatuliwezi na pengine it's not our God-given talent. Kama siyo ujinga ni nini?
Ngoja kwanza tufunge gap. 😁😂
 
Wacha watuseme sana maana hatuandai wanamichezo wetu watu wanaanda matumbo yao
 
Back
Top Bottom