Wakenya wanazidi kunyooshwa na covid19

Wakenya wanazidi kunyooshwa na covid19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza maambukizi 1030 mapya ya corona zilizothibitishwa saa 24 zilizopita. Hii inafanya maambukizi kufikia 145,184. Kasi ya maambukiziimefika 12.4%

Watu 1,616 wamelazwa katika vituo vya afya, wengine 4,243 wakiwa wanaangaliziwa nyumbani wakiwa wamejitenga. Katika waliolazwa 247 wanapewa uangalizi wa karibu (ICU), 46 wamewekewa ventilators na 170 wanapewa oksijeni ya ziada

Watu 21 wameripotiwa kufariki saa 24 zilizopita na kufanya waliokufa kwa corona kufikia 2,330. Aidha watu 422 wameripotiwa kupona na kufanya idadi kufikia 98,605

====

Kenya’s coronavirus positivity rate is now 12.4%. The Ministry of Health announced 1,030 new infections in a statement on Saturday from 8,316 samples.

The new infections have pushed the total of confirmed cases and total samples tested to 145,184 and 1,557,704 respectively.

Kenyans account for 995 of the new cases, while foreigners account for 35; 532 are male, while 498 are female.

The youngest patient is a ten-month-old infant, and the oldest is 99.

Positive cases are distributed according to age as follows: 0-9 years(40), 10-19 years(38), 20-29 years(155), 30-39 years(244), 40-49 years(198), 50-59 years(161), and 60 and older (194).

A total of 1,616 patients are currently admitted in various health facilities across the country, with 4,243 on Home Based Isolation and Care.

There are 247 patients in the Intensive Care Unit (ICU), with 46 on ventilatory support and 170 on supplemental oxygen. Thirty-one patients are being monitored.

In terms of County distribution; Nairobi 401, Nakuru 68, Kiambu 64, Kakamega 53, Machakos 51, Mombasa 51, Uasin Gishu 44, Nyeri 35, Kitui 26, Kajiado 24, Kilifi 24, Busia 19, Siaya 19, Nandi 17, Transnzola 17, Kisumu 16, Nyandarua 15, Kirinyaga 11, Laikipia 9, Kericho 8, Bungoma 7, Mandera 7, Turkana 7, Marsabit 6, Vihiga 5, Homabay 4, Murang’a 4, Taita Taveta 3, Tharaka Nithi 3, Baringo 2, Embu 2, Meru 2, Narok 2, Kisi 1, Kwale 1, Migori 1 and Samburu 1.

In Nairobi the 401 cases are from Lang’ata (40), Westlands (34), Dagoretti South (33), Starehe (26), Kibra (25), Dagoretti North, Kamukunji and Kasarani (24) cases each, Makadara and Ruaraka (22) cases each, Embakasi Central and Roysambu (20) cases each, Embakasi South and Mathare (19) cases each, Embakasi East (18), Embakasi West (16) and Embakasi North (15).

The 68 cases in Nakuru are from Naivasha (28), Nakuru West (11), Nakuru East (10), Kuresoi South (5), Nakuru North and Subukia (4) each, Gilgil (3), Rongai (2), Kuresoi North (1), and Kuresoi South (1). (1).

In Kiambu the 64 cases are from Ruiru (16), Kiambaa (12), Thika (11), Kiambu Town (6), Kikuyu (5), Juja (4), Githunguri, Kabete and Limuru (3) cases each, Lari (1) while in Kakamega the 53 cases are from Lurambi (26), Malava (6), Navakholo (5), Likuyani, Lugari and Mumias East (3) cases each, Butere, Ikolomani and Shinyalu (2) cases each, Matungu (1).

In Machakos the 51 cases are from Machakos Town (11), Kalama (8), Masinga, Matungulu and Yatta (6) cases each, Athi River (5), Kangundo and Mwala (4) cases each, Kathiani (1).

422 patients have recovered from the disease in the last 24 hours, 105 from different health facilities and 317 from Home Based and Isolation Care. Total recoveries now stand at 98,605.

At the same time, 21 deaths have been reported in the last 24 hours, with 5 of them occurring within the last month and 16 being late death reports that occurred on various dates and were recorded after facility record audits.

This brings the total number of fatalities to 2,330.

The age distribution of new deaths is as follows: 0-9 years (0), 10-19 years (0), 20-29 years (0), 30-39 years (1), 40-49 years (3), 50-59 years (2), and 60 years and older (15).

The distribution of cumulative deaths by age is as follows: 0-9 years (45), 10-19 years (17), 20-29 (94), 30-39 years (209), 40-49 years (326), 50-59 years (524), 60 years and above (1,115).
 
Wakenya siyo idiots kama wale wengine ambao wamefikia hata kuwapoteza rais mstaafu, rais aliye madarakani, chief secretary, mawaziri na wabunge kwa duduz mbaya anayeweza kuzuilika.
Wewe umejua Kenya wanaangamia kwa duduz mbaya kwa vile Wakenya ni werevu wanatoa takwimu. Wale wengine wananyamaza, na ndiyo maana Mungu akasema "hapana" - akaamua kushusha rungu kwenye vichwa vya hao hao wasiotoa takwimu za duduz mbaya!

Naona mama wa wale watu wengine kashitukia rungu la Mungu, kaunda tume ya kumshauri ile tuwe kama Wakenya.
Yule mama biti Mwamedi kutoka Kenya leo kamtembelea mama - moja ya maduhumuni makuu ni ni kumpa mama desa kutoka Kenya namna ya kupambana na duduz mbaya.
 
duduz kitu mbaya sana aisee
 
Tanzania korona siyo isue tena.
 
Umeona mama akivaa barakoa ? Wakenya hawana cha kutushauri utopolo tu.wanatumia chanjo lakini wanaendelea kufa
 
Kuvaa kote barakoa na kuwasema Watanzania hawavai barakoa, kuzingatia social distancing na kuwasema Watanzania wasiozingatia social distancing,
Lockdown pamoja na curfew,
Oooh nilisahau na chanjo walianza kupata.

Lakini bado matokeo ni zero!

Halafu bado wanaamini njia wanazo chukua ni sahihi!
 
Sasa unafurahia au? Mtu mwenye akili huwezi furahia shida ya mwenzake
Mwezi wa pili hapa Tz mngepimwa mngekutwa zaidi ya watu million 4 wanaumwa....Shukuru Mungu hili Taifa Mungu hakaagi kimya anaingilia Kati haraka sana ilikuwa ni balaaa.
Maoni yangu Kenya na Tanzania sisi ni Ndugu. Tupendane, Tuombeane mema,
Niwatakie jumapili njema EAC members wote.

Sent from my HUAWEI CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Jana nimetoka kwenye harusi moja nyomi balaa sikuona yyte aliyevaa barakoa....
zile nyomi zilizokuwa zinaaga mwili wa Magufuli...
nilitegemea kuwe na massive deaths za maambukizi ya covid lkn wapi!!?
Tz hakuna korona...
ila serekali ikiingia kwenye mtego wa kuwatia wananchi uwoga tumekwisha..
 
Kuvaa kote barakoa na kuwasema Watanzania hawavai barakoa, kuzingatia social distancing na kuwasema Watanzania wasiozingatia social distancing,
Lockdown pamoja na curfew,
Oooh nilisahau na chanjo walianza kupata.

Lakini bado matokeo ni zero!

Halafu bado wanaamini njia wanazo chukua ni sahihi!
Afadhali sisi. Wewe hapo hujui hata ni wangapi wamepigwa chini na hii kirusi huko kwenu. Unajiaminisha kwamba just because serikali yenu imekataa Kutoa data za kirusi, basi wewe uko sawa ila jirani anaangamia kwa sababu tu ya kuweka mambo yake wazi bila fiche fiche wala kuhadaa watu. Yani kirusi kimepenya hadi ikuluni ila bado unaona kwenu afadhali kuliko kwa jirani! Huoni ukiwa mjinga?
 
Huwa nafurahi sana namna comments zangu zinavyo kunyoorosha hadi unakimbia mkuku mkuku kuja kunijibu.

Sema hii comment yangu nayo ni kali kuliko changaa.

"Kuvaa kote barakoa na kuwasema Watanzania hawavai barakoa, kuzingatia social distancing na kuwasema Watanzania wasiozingatia social distancing,
Lockdown pamoja na curfew,
Oooh nilisahau na chanjo walianza kupata.

Lakini bado matokeo ni zero!

Halafu bado wanaamini njia wanazo chukua ni sahihi!"
 
Umeona mama akivaa barakoa ? Wakenya hawana cha kutushauri utopolo tu.wanatumia chanjo lakini wanaendelea kufa

Hiyo pfzer Astrazeneca sio chanjo ni sumu inayogandisha damu na athari zingine za muda mrefu.
 
Chato ipi acheni kuropoka Tanzania iko shwari ule msongamano wakati wa mazishi ya magufuli mlitegemea kungekuwa mlipuko lakini hakuna kilichotokea.
Prof. Mark Mwandosya kaandika hivi na amekiri pia yaliwahi kumkuta Mh. makamu wa rais >>>
Ushuhuda
Kwa muda wa zaidi ya mwezi mmoja nimekuwa nikiugua na kutibiwa ugonjwa wa #COVID19 unaotokana na virusi vya #Corona (SARS-CoV-2). Ni jinsi gani niliweza kuambukizwa ugonjwa huu kijijini kwetu Lufilyo, Busokelo, Mbeya, pamoja na kuzingatia tahadhari zote dhidi ya maradhi haya ni kitendawili.
Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, zawadi ya Pasaka. Nawashukuru pia mke wangu Lucy Akiiki, watoto na wajukuu, familia za Kahigwa na Mwandosya, Madaktari na Wauguzi wangu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya, na Hospitali ya Nairobi (Nairobi Hospital), @AMREFFlyingDocs, Uongozi wa @StanbicBankTZ na @StanbicKE ,Balozi Chirau na Rose Mwakwere wa Nairobi, Mheshimiwa Jaji Paul na Grace Mugamba wa Uganda, na ndugu na marafiki wote wanaoendelea kunitakia heri na afya njema. Asanteni sana.
Huu ni ushuhuda wangu kwamba Corona/Covid 19 ipo #Tanzania .
Tumebahatika kuvuka kipindi cha mpito salama na kumpata Rais mpya Mheshimiwa @SuluhuSamia . Mwenyezi Mungu amjalie neema na baraka tele. Mheshimiwa @DrPhilipMpango , Makamu wa Rais, ambaye nampongeza kwa uteuzi, amepitia hayo yaliyonisibu.
Nawaomba, tena kwa unyenyekevu mkubwa, Mhe.@SuluhuSamia , Mhe.@DrPhilipMpango na Mhe,@DrHmwinyi , Rais wa #zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, kwamba, tuongozwe na sayansi, na tuungane na tushirikiane na wenzetu duniani kote katika kupambana na ugonjwa huu kama tunavyofanya katika milipuko ya magonjwa mengine. Kwani katika mlipuko wowote, hakuna anayeweza kuwa salama mpaka wote duniani tumekuwa salama.
Maombi yangu kwa Mwenyezi Mungu ni kwamba, ikiwezekana, Mtanzania mwingine awaye yote aepushwe na mateso na taabu za kukabiliana na maradhi haya.
Hakika siwezi kumtakia mtu mwingine yeyote, hata aliye adui yangu mkubwa namna gani, kama yupo, apate ugonjwa huu.
Tutakiane Pasaka njema. Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania.
Pro Deo et patrina.

unajua siku zote, kenge hasikii mpaka aone damu zikimtoka masikioni.
 
Back
Top Bottom