Wakenya wanazidi kunyooshwa na covid19

Wakenya wanazidi kunyooshwa na covid19

Prof. Mark Mwandosya kaandika hivi na amekiri pia yaliwahi kumkuta Mh. makamu wa rais >>>
Ushuhuda

unajua siku zote, kenge hasikii mpaka aone damu zikimtoka masikioni.

Korona ipo Bongoland lakini sio as much as it is in Kinyaaaaa land.
 
Nini kilichokufurahisha sasa? Mbona mnaleta ushabiki hata kwenye maisha ya watu. Hiyo heading ni ya kiwango cha hovyo sana.
 
Nini kilichokufurahisha sasa? Mbona mnaleta ushabiki hata kwenye maisha ya watu. Hiyo heading ni ya kiwango cha hovyo sana.

Hapo hakuna humanity first ni wickedness and brutality first.
 
Mpaka AKILI ziwakae sawaa [emoji16].
Na inapiga kweli kweli.
 
Prof. Mark Mwandosya kaandika hivi na amekiri pia yaliwahi kumkuta Mh. makamu wa rais >>>
Ushuhuda

unajua siku zote, kenge hasikii mpaka aone damu zikimtoka masikioni.
Mwaka wa pili sasa Tanzania inaitreat corona as nothing na bado hatuoni massive deaths wala chochote zaidi ya maisha kusonga kama kawaida
 
Back
Top Bottom