Prof. Mark Mwandosya kaandika hivi na amekiri pia yaliwahi kumkuta Mh. makamu wa rais >>>
Ushuhuda
unajua siku zote, kenge hasikii mpaka aone damu zikimtoka masikioni.
Nini kilichokufurahisha sasa? Mbona mnaleta ushabiki hata kwenye maisha ya watu. Hiyo heading ni ya kiwango cha hovyo sana.
Sio sawa, kuna mambo mengi ya ku battle na wakenya lakini sio mambo haya. Imefika mahali tunachukuliana kama wadudu, tunashabikia na kushindana wapi wanakufa sana, seriously?Hapo hakuna humanity first ni wickedness and brutality first.
Hawatangazi in bongolala land, so huwezi linganisha kikamilifu.,Korona ipo Bongoland lakini sio as much as it is in Kinyaaaaa land.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Naona unajua kusoma kiingereza.
Hakuna cha kutangaza sasa, huku maisha yapo kama kawaida ndio maana umeona Rais kaenda Uganda akavaa barakoa ila aliporudi Bongo akaivua.Hawatangazi in bongolala land, so huwezi linganisha kikamilifu.,
Mwaka wa pili sasa Tanzania inaitreat corona as nothing na bado hatuoni massive deaths wala chochote zaidi ya maisha kusonga kama kawaidaProf. Mark Mwandosya kaandika hivi na amekiri pia yaliwahi kumkuta Mh. makamu wa rais >>>
Ushuhuda
unajua siku zote, kenge hasikii mpaka aone damu zikimtoka masikioni.