Wakenya waomba polisi kumkamata DJ Brownskin kwa kumrekodi mkewe akijitoa uhai

Wakenya waomba polisi kumkamata DJ Brownskin kwa kumrekodi mkewe akijitoa uhai

Hiko kisasi cha mtoto sijui atakuzuia vipi. Jamaa kafanya kitu cha hovyo kuliko. Mungu amsaidie kwa kweli.
 
Mtoto akililia wembe mpeeeeeeee.Huyu jamaa Hana kosa hakumsukuma kujiua Wala kumgusa kajiua mwenyewe Bado adhabu ya kaburini imemkuta.
Hii sio physical assisted suicide labda tuiite "Self assisted suicide" na ni matokeo ya hasira za huyo mwanamke .Hasira zimemtuma ajiue.
 
Nilivyoangalia ilevideo ni kama mke wake ni attention seeker, ndio mana kaenda korogea kwa mume wake ili akinywa mume ampambanie either ampeleke hospital ama ampe maziwa.
Cha ajabu ni huyo aliyefanyiwa attention na wala haku react as if alikua ansubiria kwa hamu marehemu ajiue.
 
Ilianza kama hivi!

Marehemu;
"Baby ujue nimechoka, nimechoka, nimechoka, hujari hisia zangu, hujari kuhusu mimi, ujue naweza hata kunywa Sumu sasa hivi"

DJ;
Unataka Kunywa Sumu, kunywaaa, Ufee, ntalia ntakuzika baadaye ntakusahau, kwani unadhani kujiua ndo suruhisho?"

Marehemu ananyanyuka, anaenda kuchukua Vidonge vya kutosha mchanganyiko anakunywa. ..

Kilibaki ni history.
 
Back
Top Bottom