Return Of Undertaker JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 4,572 Reaction score 26,885 Sep 8, 2017 #1 Wakati sie tukijikita zaidi na kuwafanya wengine wasishike dola ila kuna chama flani ndicho chenye hati miliki ya kushika dola. Jirani zetu wamekula bingo baafa ya kupata kibari cha direct fligt ya ndege zao kusafiri moja kwa moja kwenye Marekani. Inamaana idadi ya utalii itaanzia kwao na dola zitaanzia kwao sie tungojee sana
Wakati sie tukijikita zaidi na kuwafanya wengine wasishike dola ila kuna chama flani ndicho chenye hati miliki ya kushika dola. Jirani zetu wamekula bingo baafa ya kupata kibari cha direct fligt ya ndege zao kusafiri moja kwa moja kwenye Marekani. Inamaana idadi ya utalii itaanzia kwao na dola zitaanzia kwao sie tungojee sana
RUKUKU BOY JF-Expert Member Joined Sep 8, 2015 Posts 1,516 Reaction score 1,775 Sep 8, 2017 #2 wakati sisi wenyewe tunaiponda air Tanzania, ficha ujinga wako
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Sep 8, 2017 #3 Huku bombardier Inapigwa mnada kutokana na madeni sugu
Return Of Undertaker JF-Expert Member Joined Jun 12, 2012 Posts 4,572 Reaction score 26,885 Sep 8, 2017 Thread starter #4 RUKUKU BOY said: wakati sisi wenyewe tunaiponda air Tanzania, ficha ujinga wako Click to expand... Hakuna anae ponda ila utaratibu ufuatwe kuuziwa vibovu na kuingilia professional za watu aache
RUKUKU BOY said: wakati sisi wenyewe tunaiponda air Tanzania, ficha ujinga wako Click to expand... Hakuna anae ponda ila utaratibu ufuatwe kuuziwa vibovu na kuingilia professional za watu aache
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Sep 8, 2017 #5 Hii ndio nchi ya mapuruzai buana huwezi ona mkenya yupo dizaini ya mapuruzai!
ras jeff kapita JF-Expert Member Joined Jan 4, 2015 Posts 22,152 Reaction score 33,899 Sep 8, 2017 #6 Waache kutishia majaji kwanza na kuiba kura hayo mambo mengine ni mapambo tu.