Wakenya wapewa kibari cha direct flight (Kenya Airways) kwenda Marekani

Wakenya wapewa kibari cha direct flight (Kenya Airways) kwenda Marekani

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Wakati sie tukijikita zaidi na kuwafanya wengine wasishike dola ila kuna chama flani ndicho chenye hati miliki ya kushika dola.

Jirani zetu wamekula bingo baafa ya kupata kibari cha direct fligt ya ndege zao kusafiri moja kwa moja kwenye Marekani.

Inamaana idadi ya utalii itaanzia kwao na dola zitaanzia kwao sie tungojee sana
IMG-20170908-WA0055.jpg
 
wakati sisi wenyewe tunaiponda air Tanzania, ficha ujinga wako
 
Huku bombardier Inapigwa mnada kutokana na madeni sugu
 
Hii ndio nchi ya mapuruzai buana huwezi ona mkenya yupo dizaini ya mapuruzai!
 
Waache kutishia majaji kwanza na kuiba kura

hayo mambo mengine ni mapambo tu.
 
Back
Top Bottom