Wakenya washangazwa na lafudhi ya kiingereza cha Diamond

Na vidio yake iko poa sana kiba nampenda lakini sina namna[emoji22] [emoji22]
 
Rise of chibu ni English language is zarina+wema
 
Nyi jamaa hua majinga sana
[QUOwamorris chilobe, post: 24774608, member: 461386"]Kinga ama kweli jamaa anasumbua watu ngoma ya mond ameiachia lakini anatajwa kiba tena ktk mazungumzo ya ngoma hyo[/QUOTE]
Wa Watu wana
 
Kinga ama kweli jamaa anasumbua watu ngoma ya mond ameiachia lakini anatajwa kiba tena ktk mazungumzo ya ngoma hyo
Sivyo hivyo kama udhaniavyo...hii ni katika kuendeleza tu utani wa jadi kati hawa mafahari wawili..dont panic!
 
Kiinglish kafundishwa na Hamisa.
 
Ila ishu za kubinulia mdomo pembeni ni za kishamba sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…