Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Hahaaaa wabongo bwanaSema hata sisi makarai, itapendeza. Usitake kuwa msemaji wa watanzania wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa wabongo bwanaSema hata sisi makarai, itapendeza. Usitake kuwa msemaji wa watanzania wote.
Duh imebidi nicheke tu!![emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] duh!!!Ali Kiba njoo tuanze kutukana
Wakenya ndio akina nani mpaka ufungue Uzi?
Accent una imitate tu,endapo huna ulemavu wa ubongo.Kinga ama kweli jamaa anasumbua watu ngoma ya mond ameiachia lakini anatajwa kiba tena ktk mazungumzo ya ngoma hyo
Anza kuzungusha makalioMakarai tupo hapa ufipa tunasuburi kususa. Mbona umechelewa kutokea? Tunakungoja tuungane tuanze kuzungusha mikono.
kibakuli alitoa maumivu/day akijua mondi naye atatoa immediately ili apate kiki! maskini kibakuli kweli anapata maumivu everydayAli Kiba njoo tuanze kutukana
Hapo ndio unajiona mjanjaa, ha ha ha.Anza kuzungusha makalio
Sivyo hivyo kama udhaniavyo...hii ni katika kuendeleza tu utani wa jadi kati hawa mafahari wawili..dont panic!Kinga ama kweli jamaa anasumbua watu ngoma ya mond ameiachia lakini anatajwa kiba tena ktk mazungumzo ya ngoma hyo
Haha nimetania tu mkuuHapo ndio unajiona mjanjaa, ha ha ha.
Zari ndo kila kitu,kuoa kunaitaji akili pia
Nna wasiwasi na utimamu wa akili yakoKing Kiba ni mkubwa kuliko huyo Rickross wenu!
Sio king kiba ni alikiba ni kama hamorapa tuKing Kiba ni mkubwa kuliko huyo Rickross wenu!