mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Sisi Huku kanuni yetu NI ile ile.
Ukifa unazikwa tunaendelea na maisha
Sisi Huku kanuni yetu NI ile ile.
Ukifa unazikwa tunaendelea na maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap,that's the perfect formula for shizle manizo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].
Sisi Huku kanuni yetu NI ile ile.
Ukifa unazikwa tunaendelea na maisha
Habari kama hizi humuoni MK254 ,nyie endeleni kukaa ndani na kuiga kunya kwa tembo.View attachment 1740059
Baadhi ya makundi ya kijamii nchini Kenya yametishia kufanyamaandamano ya kupinga masharti ya kudhibiti maambukizi ya corona.
Wiki iliyopita Rais Uhuru Kenyatta alipiga marufuku usafiri wa kutoaka na kuingia majimbo matano yanayosadikiwa kuwa na viwango vya juu vya maambukizi ukiwemo mji Mkuu wa Nairobi, kukomesha ongezeko la maabukizi ya ugonjwa wa Covid-19.
View attachment 1740060
Baadhi ya wale ambao walifanya kazi katika hoteli, wanasema wana familia za kulisha lakini waajiri wao wamelazimika kufunga hoteli zaoImage caption: Baadhi ya wale ambao walifanya kazi katika hoteli, wanasema wana familia za kulisha lakini waajiri wao wamelazimika kufunga hoteli zao
View attachment 1740061
Rais Kenyatta pia alipiga marufuku uuzaji wa pombe katika maeneo yaliyowekewa masharti ya usafiri na kuagiza wenye migahawa kuuza vyakula vya kwenda navyo nyumbani.
Bunge la Mwananchi na Muungano wa wananchi wa Citizens Alliance unasema kuwa masharti hayo yanawaathiri wananchi wa kawaida , wakati shughuli za kisiasa zilichangia "kueneza" virusi.
😀 😀 😀 😀 wenzio walifurahia misaada!Wakome maana ujuaji umewazidi
huyo Juha kalulu MK254 eti alikua anamtisha Rais wetu kwa nini hakuvaa barakoa wakati wanaapa.Habari kama hizi humuoni MK254 ,nyie endeleni kukaa ndani na kuiga kunya kwa tembo.
Nina hamu wafungiwe hivyo mileleWatulie wao si wazungu.. Wakae ndani
Hii shilingi ina pande mbili, kuna wakati nikiagalia hali ya uchumi utakavyozorota natamani tuachiwe wakujifia ajifie kama ilivyo kule Tanzania ambapo umaskini wao umesababisha wameamua kujitoa mhanga hadi kirusi kimebeba mpaka ngazi ya juu ya uongozi, ila pia nikiwaza kinavyotesa kwanza gharama za ICU, dah! naona tu tuendelee kupambana tusijichokee kama majirani, uchumi tutaunyanyua tu, sisi ni wachapa kazi hodari na tunafahamika ukanda wote huu, hivyo suala la kuunyanyua uchumi haitotuchukua muda mrefu.
yani siwezi kumuona kipenzi changu at kuna Corona.
You must be doing well financially to support these kind of shenanigans.Hii shilingi ina pande mbili, kuna wakati nikiagalia hali ya uchumi utakavyozorota natamani tuachiwe wakujifia ajifie kama ilivyo kule Tanzania ambapo umaskini wao umesababisha wameamua kujitoa mhanga hadi kirusi kimebeba mpaka ngazi ya juu ya uongozi, ila pia nikiwaza kinavyotesa kwanza gharama za ICU, dah! naona tu tuendelee kupambana tusijichokee kama majirani, uchumi tutaunyanyua tu, sisi ni wachapa kazi hodari na tunafahamika ukanda wote huu, hivyo suala la kuunyanyua uchumi haitotuchukua muda mrefu.
Yani wewe ndio watu ambao Kenyata anajivunia kuwa nao sana hapo Kenya.Hii shilingi ina pande mbili, kuna wakati nikiagalia hali ya uchumi utakavyozorota natamani tuachiwe wakujifia ajifie kama ilivyo kule Tanzania ambapo umaskini wao umesababisha wameamua kujitoa mhanga hadi kirusi kimebeba mpaka ngazi ya juu ya uongozi, ila pia nikiwaza kinavyotesa kwanza gharama za ICU, dah! naona tu tuendelee kupambana tusijichokee kama majirani, uchumi tutaunyanyua tu, sisi ni wachapa kazi hodari na tunafahamika ukanda wote huu, hivyo suala la kuunyanyua uchumi haitotuchukua muda mrefu.
Hapana.. death toll ni ndogo mno.. let people go out and work. Mtapigana muda sio mrefu.. and it will be worse that any other fujo mliyowahi kupitia.Hii shilingi ina pande mbili, kuna wakati nikiagalia hali ya uchumi utakavyozorota natamani tuachiwe wakujifia ajifie kama ilivyo kule Tanzania ambapo umaskini wao umesababisha wameamua kujitoa mhanga hadi kirusi kimebeba mpaka ngazi ya juu ya uongozi, ila pia nikiwaza kinavyotesa kwanza gharama za ICU, dah! naona tu tuendelee kupambana tusijichokee kama majirani, uchumi tutaunyanyua tu, sisi ni wachapa kazi hodari na tunafahamika ukanda wote huu, hivyo suala la kuunyanyua uchumi haitotuchukua muda mrefu.