eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hiyo namba moja tofauti na corona,,,corona ikikupata na una maradhi ya cancer, kisukari, pressure, moyo, HIV n.k ukimaliza wiki basi ni kudra zake Mungu.
Corona ni 🔥🔥🔥
Kwa hiyo mpaka uwe na pre existing health issues. Vinginevyo si tishio. Lkn kipindupindu hata ukiwa baunsa inakushusha na kukulaza tu.