Hiyo namba moja tofauti na corona,,,corona ikikupata na una maradhi ya cancer, kisukari, pressure, moyo, HIV n.k ukimaliza wiki basi ni kudra zake Mungu.
Wakenya waoga kufa kwa corona ili hali matukio mengi tofauti na 19 ynawachukua.Endeleeni kujifungia sisi tunaendelea kula bapa za nyagi na Bado hela tutakuja kuchukua kwenu ,njaa ikiwatoa