joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wacha kukimbia mada, Elimu sio kufika Univesity na kutoka kichwa tupu, wewe umesema "Tofauti ya Exports na imports za Nchi hazina uhusiano na GDP growth ya nchi badala yake hiyo ni "trade deficit"Huyu joto la jiwe huwa anakiri wazi kwamba alifika form four tu na hakufika form five au six. Kisha huwa anakiri kwamba alipata division IV yaani grade ya chini kabisa. Sasa huyu mtu ndio anataka kufunza watu humu kuhusu kucalculate gdp? Hahaha dunia haiishi maajabu.
View attachment 2199663
View attachment 2199662
Halafu huyu jamaa wa form four kumbe sio mjuzi wa uchumi tu, naona anamfunza Teargas microbiology pia japo teargas kaisomea kitaalam.
View attachment 2199664
This guy is suffering from Dunning Kruger effect.
Naona umepigwa kama mbwa koko kwenye ule uzi niliyoanzisha sasa umeamua kuanzisha uzi wako? Pia huku tutakupiga tu.Wacha kukimbia mada, Elimu sio kufika Univesity na kutoka kichwa tupu, wewe umesema "Tofauti ya Exports na imports za Nchi hazina uhusiano na GDP growth ya nchi badala yake hiyo ni "trade deficit"
Msililize huyu msomi mwenzako(original), sio wewe "fake" anavyoeleza jinsi "exports zinavyoathiri GDP
Eti Kenya Kuna wasomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huyo kupingana naye ni kujikosea heshima.Naona umepigwa kama mbwa koko kwenye ule uzi niliyoanzisha sasa umeamua kuanzisha uzi wako? Pia huku tutakupiga tu.
Nimeamua kum-ignore. Wacha aongee pekee yake.Huyo kupingana naye ni kujikosea heshima.
Jibu hoja, wacha kuzungumzia Mambo usiyoyajua[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeamua kum-ignore. Wacha aongee pekee yake.
joto la jiwe ni yule mtu mwenye anasoma kitu google alafu anakuja kupingana na watu huku when in reality haelewi kile alichosoma kwa sites za google. Kuna day the guy alipingana na mimi kuhusu albinism in animals hadi nikajidharau cause I realized I was arguing with an empty head.Huyu joto la jiwe huwa anakiri wazi kwamba alifika form four tu na hakufika form five au six. Kisha huwa anakiri kwamba alipata division IV yaani grade ya chini kabisa. Sasa huyu mtu ndio anataka kufunza watu humu kuhusu kucalculate gdp? Hahaha dunia haiishi maajabu.
View attachment 2199663
View attachment 2199662
Halafu huyu jamaa wa form four kumbe sio mjuzi wa uchumi tu, naona anamfunza Teargas microbiology pia japo teargas kaisomea kitaalam.
View attachment 2199664
This guy is suffering from Dunning Kruger effect.
Reason I said arguing with him is disrespecting yourself. How can you argue with someone typing from this mkebe?🤣🤣🤣
Kwaiyo hiyo cm ndio inatermine capacity yake we kizuuu?Reason I said arguing with him is disrespecting yourself. How can you argue with someone typing from this mkebe?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2200072View attachment 2200073
Someone doesn't understand simple principles of economics and can't afford a decent phone yet wants to argue with people like a know it all. Why waste my time on a chokoraa?Kwaiyo hiyo cm ndio inatermine capacity yake we kizuuu?
Tony254 unadhalilisha Elimu yenu na nchi yako kwa kushindwa kujua Mambo madogo Kama haya[emoji23][emoji23]
Moderator tafadhali badilisha neno "wasiokua" lisomeke "Wasiokua"
"Inatermine" ndio nini? Wewe ni boflo tu kama yeye.Kwaiyo hiyo cm ndio inatermine capacity yake we kizuuu?