Wakenya wasiojua jinsi ya kukokotoa GDP ya nchi kwa urahisi, hii ni aibu kwa Elimu ya Kenya

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

Tony254 unadhalilisha Elimu yenu na nchi yako kwa kushindwa kujua Mambo madogo Kama haya[emoji23][emoji23]

Moderator tafadhali badilisha neno "wasiokua" lisomeke "Wasiokua"
 
Huyu joto la jiwe huwa anakiri wazi kwamba alifika form four tu na hakufika form five au six. Kisha huwa anakiri kwamba alipata division IV yaani grade ya chini kabisa. Sasa huyu mtu ndio anataka kufunza watu humu kuhusu kucalculate gdp? Hahaha dunia haiishi maajabu.
1650860877152.png

1650860802378.png

Halafu huyu jamaa wa form four kumbe sio mjuzi wa uchumi tu, naona anamfunza Teargas microbiology pia japo teargas kaisomea kitaalam.
1650861067601.png

This guy is suffering from Dunning Kruger effect.
 
Huyu joto la jiwe huwa anakiri wazi kwamba alifika form four tu na hakufika form five au six. Kisha huwa anakiri kwamba alipata division IV yaani grade ya chini kabisa. Sasa huyu mtu ndio anataka kufunza watu humu kuhusu kucalculate gdp? Hahaha dunia haiishi maajabu.
View attachment 2199663
View attachment 2199662

Halafu huyu jamaa wa form four kumbe sio mjuzi wa uchumi tu, naona anamfunza Teargas microbiology pia japo teargas kaisomea kitaalam.
View attachment 2199664

Wacha kukimbia mada, Elimu sio kufika Univesity na kutoka kichwa tupu, wewe umesema "Tofauti ya Exports na imports za Nchi hazina uhusiano na GDP growth ya nchi badala yake hiyo ni "trade deficit"

Msililize huyu msomi mwenzako(original), sio wewe "fake" anavyoeleza jinsi "exports zinavyoathiri GDP

Eti Kenya Kuna wasomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Naona umepigwa kama mbwa koko kwenye ule uzi niliyoanzisha sasa umeamua kuanzisha uzi wako? Pia huku tutakupiga tu.
 
Huyu joto la jiwe huwa anakiri wazi kwamba alifika form four tu na hakufika form five au six. Kisha huwa anakiri kwamba alipata division IV yaani grade ya chini kabisa. Sasa huyu mtu ndio anataka kufunza watu humu kuhusu kucalculate gdp? Hahaha dunia haiishi maajabu.
View attachment 2199663
View attachment 2199662

Halafu huyu jamaa wa form four kumbe sio mjuzi wa uchumi tu, naona anamfunza Teargas microbiology pia japo teargas kaisomea kitaalam.
View attachment 2199664
This guy is suffering from Dunning Kruger effect.
joto la jiwe ni yule mtu mwenye anasoma kitu google alafu anakuja kupingana na watu huku when in reality haelewi kile alichosoma kwa sites za google. Kuna day the guy alipingana na mimi kuhusu albinism in animals hadi nikajidharau cause I realized I was arguing with an empty head.
 
Kwaiyo hiyo cm ndio inatermine capacity yake we kizuuu?
Someone doesn't understand simple principles of economics and can't afford a decent phone yet wants to argue with people like a know it all. Why waste my time on a chokoraa?
 
Majirani ndivyo walivyo, mambo yao waachie wenyewe...
 
Tony254 unadhalilisha Elimu yenu na nchi yako kwa kushindwa kujua Mambo madogo Kama haya[emoji23][emoji23]

Moderator tafadhali badilisha neno "wasiokua" lisomeke "Wasiokua"

Unapendekeza moderator afanye mabadiliko Gani mbona umeandika kitu kile kile?

Na Bado unataka ulinganishe elimu yetu na wakenya, au umeamua uchangamshe jukwaa?
 
Back
Top Bottom