HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kila taifa lina tabia na tamaduni zake zinazostahili kuenziwa hata kwa mtutu wa bunduki.
Wakenya wanatabia na tamaduni za kianzisha fujo na chokochoko nchini kwao na wakaangaliwa tu na serikali yao kwa kuwa inawadekeza hivyo.
Kama wangekuwa na nia ya kuja kufuatilia kesi ya Lissu wangeomba kwa diplomasia juu ya hilo kupotia ubalozi wao nchini naimani wangeruhusiwa tu kama majirani wema.
Ila kitendo chao cha kuja kimabavu na kimyakimya ni wazi walikuja kufanya uchochezi na kuleta vurugu kama za nchini kwao ambapo hili Watz hatuko tayari labda wa upande wa pili walio na akili finyu.
Tanzania siyo nchi ya wahuni kama kenya wanapaswa kuelewa hilo sivyo wataambulia kichapo kila leo na kirudishwa kwao.
Wajitafakari kwa ujinga wao huo!!