Wakenya watajwa ndani ya kumi bora kwenye ukarimu - ndio maana majirani wamejaza omba omba huku

Wakenya watajwa ndani ya kumi bora kwenye ukarimu - ndio maana majirani wamejaza omba omba huku

Kwa sasa hivi usiamini chochote kutoka kwa Muzungu-Uingereza, amebanwa na Brexit anatafuta pa kutokea, hivyo akikusifu ujue anatafuta soko, EU wamekamata makende ya Waingereza, kaeni chonjo!
Dreamliner mlijenga ama ni mzungu alijikakamua?
 
Ufahamu wenu pia, kuhusu masuala mengi tu, huwa mnaupata kwa kutizama kila kitu na jicho la kinafik.
kenyan-lady-rescues-homeless-childhood-friend-wanja-mwaura-hinga-4-5a8e81843a618__700.jpg
chock-778.jpg
141.jpg
Mambo kama haya ndio wanaongea kuhusu. Huyu dada Wanja Mwaura aliyemsaidia Hinga, classmate wake wa zamani, ni mfano mmoja tu wa wakenya wengi ambao huwa wanajitolea kufanya mambo mengi tu ya kuboresha jamii zao na maisha ya wakenya wenzao pia, tena kwa hiari yao.

Angalia mifano yako ilivyo ya ajabu!!!

Huyu mwanadada angefanya tofauti kwa classmate jamii ingemwelewaje???Kusaidia mtu wako wa karibu au ndugu huo ni wajibu wako,ama hujui unaona ni sifa,see[emoji23][emoji23][emoji23].

Kusaidia mtu usiyemjua na usiye na mahusiano naye ndio ukarimu wenyewe.
 
Huwa mnarukia kwenye comment bila kusoma kwanza taarifa za hoja. 'Volunteering for a good cause' maana yake ni nini? Donating money pia? Hata hiyo Helping a stranger pia imetajwa kama kigezo cha utafiti huo wa 'generosity'. Wewe unadhani ni jambo la mzaha mzaha kumsaidia 'chizi' kama huyo hapo hadi akarudi kwenye 'form' kama hiyo hapo. Dada zenu wakipishana na mtu kama huyo hapo macho yao huwa wanayatupa kando au hata wamtemee mate kabisa. Big up to that lady Wanja Mwaura, na Mungu azidi kumbariki.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]unanikasirikia baada ya kukwambia ametimiza wajibu wake,sijui una tatizo gani???
 
Hakuna Taifa lilio karimu kama Tanzania. Mwalimu nyerere alijitolea kusaidia nchi karibu kumi za africa kupata uhuru..Alitumia raslimali ya nchi yake maskini kuwalida na kuwapa mafunzo wapiganiaji uhuru.
Nchi za magaribi zilimchukia Nyerere na kunyima serikali yake mikopo na wawekezaji.

Huu ndio ukarimu wa ukweli..Kupea maskini na omba omba vijipesa za kujisaidia kila siku hauwezi linganisha na kumpea maskini Uhuru wa kujitawala na kuchukua ardhi yake kutoka kwa mabeberu na kujifanyia ukulima mwenyewe.
 
Hiyo nakubali wakenya wakarimu hadi wanaume wanaolewa na wazungu kweli nyinyi wakarimu
Hii nayo kali
ila hao omba omba nao Vilaza
Utoke Tanzania ukaombe Kenya!!
 
Hakuna Taifa lilio karimu kama Tanzania. Mwalimu nyerere alijitolea kusaidia nchi karibu kumi za africa kupata uhuru..Alitumia raslimali ya nchi yake maskini kuwalida na kuwapa mafunzo wapiganiaji uhuru.
Nchi za magaribi zilimchukia Nyerere na kunyima serikali yake mikopo na wawekezaji.Huu ndio ukarimu wa ukweli..Kupea maskini na omba omba vijipesa za kujisaidia kila siku hauwezi linganisha na kumpea maskini Uhuru wa kujitawala na kuchukua ardhi yake kutoka kwa mabeberu na kujifanyia ukulima mwenyewe.
Katika enzi hizi za kuchoma vifaranga kwa moto, hii bendera hapa chini, ya majuzi tu, itakueleza yale yote ambayo unataka kuyajua.
ss.png
 
Utafiti umefanywa kwenye mataifa 146, Kenya imeibuka namba nane kwa mataifa yenye wananchi wakarimu, hii ni nzuri ila pia ina changamoto zake maana majirani wa kusini hutumia hii kama fursa ya kutujazia wanachi wake kuomba omba kwenye barabara zetu.

------------------------------------------------------------------------
Kenyans have been ranked amongst the 10 most generous nations in the world, according to a new report.
The UK-based Charities Aid Foundation said that Kenya ranked eighth (among 146 countries) in terms of its three key criteria – helping a stranger, donating money and volunteering for good causes.
It is the only African country in the top ten.
The report said that 72 percent of Kenyans were prepared to help a stranger, 46 percent donated money and 45 percent gave up their own time to volunteer.
The CAF World Giving Index 2018 includes data from 146 countries collected throughout 2017.
It said that it has seen an upward trend for Africa in terms of generosity towards those in need over the past decade as Africa’s middle class continues to grow.
“With as many as 2.4 billion people set to join the world’s middle classes by 2030, it is crucial that we ensure that the groundwork is put in place to support and encourage a mass engagement in giving,” the report said.

“We estimate that if the world’s middle classes were to give just 0.5% of their spending that could amount to $319 billion in resources for civil society organisations annually in 2030.”
The CAF report said that while those in developed countries are the most likely to donate money (42 percent), those in developing countries are the most likely to have helped a stranger (54 percent).
Volunteering time has largely similar participation levels across both the developed (24 percent) and developing (21 percent) countries.
The most likely age group globally to have helped a stranger are those aged 30-49 years, followed closely by the youngest age group, 15-29 year olds.
Indonesia still has the highest proportion of its people volunteering with a score of 53%, followed by Liberia in second place and Kenya in third place.
Across the continents, helping a stranger is the most common giving behaviour.
Oceania (65 percent) and Africa (58 percent) record the highest rates of helping a stranger whilst Europe has the lowest prevalence (44 percent).
Europe also has the lowest rates of volunteering (19 percent) of any of the other continents.
Kenyans ranked among world's most generous - report
That is not true, hakuna watu wenye roho mbaya jama ninyi.
 
Katika enzi hizi za kuchoma vifaranga kwa moto, hii bendera hapa chini, ya majuzi tu, itakueleza yale yote ambayo unataka kuyajua.
ss.png
Kulinda Nchi yako isipate bidhaa gushi kama vifaranga walio na magojwa au sukari ya mercury ni uzalendo..
Kenya ndio inachangia kwa asilimia kubwa hali mbaya ya south sudan..Wanaoiba mali ya SS wamejificha kenya..Huu sio ukarimu..Kusaidia wezi na ethinic bigots ni kutowasaidia wananchi wa SS.
SS sio nchi huru..
Tz Has never hosted theives and Tribalists at the expence of a foreign country's Citizens..Kenya Was the host of GENOCIDE mastermind Felician Kabuga of Rwanda..
Ukarimu kwa wezi ni ubepari
 
Mkikuyu- Akili timamu hizo ni blah blah blah zako tu za kawa, juzi mmemkamata mwanahabari wa S.A mkasema ni jasusi. Malawi nao mnataka kupigana makonde kwasababu ya ziwa. Msumbiji, magaidi wenu wanafanya yao. Kenya mnatuchomea vifaranga na kuuza ng'ombe wetu. Mkatekana wenyewe kisha mkasema ni majirani mara sijui wasauz. Jirani zetu tunawapenda lakini unafik utawaua! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23]

Yaliyopo yanafurahisha
 
Slaughtering Citizens after every election cannot be compared with burning diseased chicken.
Kama ng'ombe zako zilitaifishwa huko narok pole sana. Natumai sasa unafahamu sheria za nchi jirani vizuri😂😂
 
The commentor above is very emotional, as usual. Muda sio mfupi ataanza kuwataja David Ndii na rais U.K. [emoji23][emoji23][emoji23] Thiiitimaaa! I like it!. 😎
 
The commentor above is very emotional, as usual. Muda sio mfupi ataanza kuwataja David Ndii na rais U.K. [emoji23][emoji23][emoji23] Thiiitimaaa! I like it!. 😎
Naona umecatch mafeelings..Punguza hasira..Tz is here to stay and its in EAC. You can complain and whine like an old woman but nothing will Change in Tz. Kwanza nawezapenda sana Makonda awe rais, asubuhi kiamsha kinywa ni A cup of Jubilee tears😂😂😂😂
 
Mkikuyu- Akili timamu, tuwe wakweli tafadhali. Hivi kwenye ngazi za juu kabisa za uongozi, ukanda huu wote, kuna mtu mwingine ambaye hana hata chembe cha ukarimu kama huyu mzee wetu??? Ona yaliyojiri kwenye ujio wake Kenya. [emoji1][emoji1][emoji1]
CwE-PiXWIAAbM2g.jpg
[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Ukarimu mnaujua kweli?
Nilipokuja airport yenu mdada nilimuomba kalamu nijaze fomu akaniambia $100 nikamwambia tutaondoka wote? Alimind sana nikacheka

Ukarimu?
Unaenda kwa jamaa anakupa gazeti halafu yeye anaenda kulia chakula chumbani, na huo ni ukarimu kikwenu eti
 
Utafiti umefanywa na wakenya wenyewe labda; mkenya awe mkarimu???? Bora ningeambiwwa mganda au mtanzania! Kenya! Mkikuyu +Mjaluo? Hamuwaju - nenda Nairobi ndo utawajua.
 
Back
Top Bottom