Wakenya watajwa ndani ya kumi bora kwenye ukarimu - ndio maana majirani wamejaza omba omba huku

Nakumbuka yule Mkenya aliyekuwa anazabwa makofi na yule mzungu hotelini...? Mamamae, kweli mnastahili, sio kwa kuvumilia yale makofi..!
 
Utafiti umefanywa na wakenya wenyewe labda; mkenya awe mkarimu???? Bora ningeambiwwa mganda au mtanzania! Kenya! Mkikuyu +Mjaluo? Hamuwaju - nenda Nairobi ndo utawajua.
umewasahu Wakamba (very stupid people but pretending kila kitu wanajua)
 
Hapo zamani wazazi wakarimu walikuwa wana adhibu watoto wa jirani kwa niaba ya mama zao..JPM kuja na kiboko kenya ni ishara ya ukarimu wake, hata kufunga boarder ni kuwaadhibu wanao torosha mali kenya..Mzee Mkarimu sana huyu
 
UKARIM nisifa,,na sifa ya ukarim inatolewa na watu kwenda kwa mtu au watu,,,sifa ya sifa zote duniani inaweza kutolewa pasipo kumaanisha au kumaanisha,uzuri mwingine wa sifa zote ,mpewa sifa anaweza kutathimini kama nikweli au uwongo

Mfano mtu anweza kukwambi Nairobi ni jiji linalo ongoza kwa warembo africa,,hebu fanya kama unthink hivi,,inaukweli hii sentensi ,jibu ni hapana but kinyume chake inaweza kua kweli,,

So utagundu mtoa sifa kunamuda anataka kukumbumbaza ili apae jambo flani au anakulainisha labda kunasehem ulikokosea,

Kusema wakenye ni wakarim kwakweli ni utani ulio pitiliza,,

MM kama MM naamini wakenya wengi wa Niarobi wanawanyenyekea sana Wazungu pia wanamashauzi ambayo kiuhalisia hawapo hivyo,,
Asanteni
 
Wazungu wakiona mwafrica ana mwelekeo wa kuinuka wanamuwekea vikwazo; na kama wakiona mwafrica ana mwelekeo wa kuanguka kabisa wanampa big up ili aendelee kubweteka.
 
Wakenya ni wanafiki sana
 
umewasahu Wakamba (very stupid people but pretending kila kitu wanajua)
Nawapenda kwa sababu ni binadamu wenzangu ila siwapendi kwa sababu wana tabia za kishenzi sana! Yapo yamejazana kwenye shule za english medium hapa Tanzania, hayajui lolote tofauti na english tu basi; kuna mmoja niliwahi kumwakia hadi leo ananiogopa.
 
Ukarimu na ukabila unawamaliza😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…