luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Wanadai MJ ana lidhohofisha shirika lao, mhojiwa hapo anadai anaona ATCL inavyokuja kwa kasi na mdege zao mpyaa iweje wao ionekane kila siku shirika linazama porini tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atwoli ndio amaimaliza ATCL.Atwoli ana mikwara...eti watahakikisha hao jamaa sio tu kwamba hawataendeshe hilo shirika la KQ, bali hawatakuwa na hata access ya kuingia airport hahaha
Anashindwa kujua wenye hisa zao ndio wamemuweka hapo huyo jamaa.yani kunyaland mzima hakuna mwenye ana akili ya kuongoza hilo shirika ndio maana ametafutwa huyo. Atwoli apambane tu na lane yake kwenye huo ukatibu wa cotu la sivyo hata huko atafurushwa maana anataka kuchezea maslahi ya wazee.