Wakenya wataka Michael Joseph beberu mkurugenzi wa KQ afukuzwe

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928

Wanadai MJ ana lidhohofisha shirika lao, mhojiwa hapo anadai anaona ATCL inavyokuja kwa kasi na mdege zao mpyaa iweje wao ionekane kila siku shirika linazama porini tu
 
wao kama nani wa kuipangia serikali[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyo jamaa anaonekana ana kacheo ktk serikal ya freedom kenyatta
 
Atwoli ana mikwara...eti watahakikisha hao jamaa sio tu kwamba hawataendeshe hilo shirika la KQ, bali hawatakuwa na hata access ya kuingia airport hahaha

Anashindwa kujua wenye hisa zao ndio wamemuweka hapo huyo jamaa.yani kunyaland mzima hakuna mwenye ana akili ya kuongoza hilo shirika ndio maana ametafutwa huyo. Atwoli apambane tu na lane yake kwenye huo ukatibu wa cotu la sivyo hata huko atafurushwa maana anataka kuchezea maslahi ya wazee.
 
Yule beberu mzungu ana simamia shekeki za mabeberu wenzake walioko ng'ambo sasa huyo. Atwoli anajizungumzia kamanamekula maharage ya somalia
 
Atwoli ana mikwara...eti watahakikisha hao jamaa sio tu kwamba hawataendeshe hilo shirika la KQ, bali hawatakuwa na hata access ya kuingia airport hahaha

Anashindwa kujua wenye hisa zao ndio wamemuweka hapo huyo jamaa.yani kunyaland mzima hakuna mwenye ana akili ya kuongoza hilo shirika ndio maana ametafutwa huyo. Atwoli apambane tu na lane yake kwenye huo ukatibu wa cotu la sivyo hata huko atafurushwa maana anataka kuchezea maslahi ya wazee.
Atwoli ndio amaimaliza ATCL.
 
Wakenya wakiacha ukora watapiga hatua za maendeleo
 
Back
Top Bottom