Wakenya watamani Uhuru afuate nyayo za Magufuli

Wakenya watamani Uhuru afuate nyayo za Magufuli

80% ya wakenya wanatamani Magufuli awe rais wa wakenya, wamechoka na rushwa, wanechoshwa na serikali yao kukosa nguvu za kuwadhibiti wanasiasa. Miaka mitatu kabla ya uchaguzi, ukifika Kenya utadhani uchaguzi ni wiki ijayo.
 
I can definitely tell you that those fascinated by his antics are less than 20%. Kwa Moi tulitoka karne iliyopita
 
Kenyans love their freedom of association, freedom of speech, freedom of thought... Kenyans will get fascinated with you on social media but kwa ground mambo ni tofauti .. even Moi the dictator had to give in.

By the way, Kenya under Moi was more free than TZ under Magufuli.
 
Sijaelewa madhumuni ya huu uzi, maana sidhani kama kuna Mkenya anayeweza kufurahi tukirudi kwenye enzi za giza za rais kuagiza agiza nani akamatwe na nani aachiwe, tangu tupate katiba mpya na nzuri kuzidi zote ukanda wote huu, imekua ndio nguzo na tegemeo letu, hatuishi tena kwa kutegemea matamko na mikwara ya kiongozi wala viongozi.
Hapa
Hapa mafisadi ndani ya KRA wanakamatwa kwa kuzingatia sheria, hatukai kusubiri hadi rais aje aagize agize, kwa Tanzania nimeona kwa hiyo video hata waziri mkuu alikua hajui afanye nini

From left to right: Sammy Kamuio a director of

From left to right: Sammy Kamuio a director of Samumu Construction Services Limited and tax agents Wilson Ogot Owera, David Osore Wesonga and Rolland Anakaya Chiriswa who were charged for aiding tax evasion in a Mombasa court on September 27, 2019. PHOTO | COURTESY

https://www.nation.co.ke/news/3-tax-agents-charged-VAT-fraud/1056-5290172-eilgugz/index.html
 
freedom of the press, association and speech
Acheni wivu lazima mseme ukweli, angalia wakenya hapa katika hii channel ya Kenya jinsi wanavyompenda Magufuli na kumponda Uhuru Kenyatta. Ninaweza kukuletea video clips kumi za Magufuli na usome "comments" za wakenya, wote wanasema hivi hivi. Wengi hapa ni wivu, japo kimya kimya hata ninyi hapa mnamkubali sana tu.
 
Sijaelewa madhumuni ya huu uzi, maana sidhani kama kuna Mkenya anayeweza kufurahi tukirudi kwenye enzi za giza za rais kuagiza agiza nani akamatwe na nani aachiwe, tangu tupate katiba mpya na nzuri kuzidi zote ukanda wote huu, imekua ndio nguzo na tegemeo letu, hatuishi tena kwa kutegemea matamko na mikwara ya kiongozi wala viongozi.
Hapa
Hapa mafisadi ndani ya KRA wanakamatwa kwa kuzingatia sheria, hatukai kusubiri hadi rais aje aagize agize, kwa Tanzania nimeona kwa hiyo video hata waziri mkuu alikua hajui afanye nini

From left to right: Sammy Kamuio a director of

From left to right: Sammy Kamuio a director of Samumu Construction Services Limited and tax agents Wilson Ogot Owera, David Osore Wesonga and Rolland Anakaya Chiriswa who were charged for aiding tax evasion in a Mombasa court on September 27, 2019. PHOTO | COURTESY

https://www.nation.co.ke/news/3-tax-agents-charged-VAT-fraud/1056-5290172-eilgugz/index.html

Hiyo katiba si naskia mnataka kubadilisha tena? Punda amechoka[emoji2]
 
Hiyo katiba si naskia mnataka kubadilisha tena? Punda amechoka[emoji2]

Ndio ishara za watu wenye uthubutu, sio kukaa mumedumaa kama mazezeta, tuna uwezo wa kuboresha zaidi. Nyie mliachiwa na mzungu hadi leo ndio mnaitegemea, kuna kipindi mlithubutu kuibadili kilichowakuta mnajua wenyewe, mzee wa watu, Warioba sijui aliishia wapi, nakumbuka akinyanyuliwa kama mtoto na Makonda.

Angalia hii video palivyokua patamu

Makonda aliyehusika kumvuruga mzee Warioba si ndiye leo mumempa ukuu wa Dar yote
2.jpg
 
Dhumuni la katiba ni kumsaidia mwananchi aondokane na matatizo yake, Kenya katiba haijabadilisha lolote zaidi ya kumuongezea mzigo raia wa kawaida, sasa hivi hali imekua mbaya zaidi kuliko enzi za Kibaki. Tatizo la wakenya ni kujionyesha lakini hakuna kinachobadilika, katika haya matatizo ya msingi yanayomsumbua mkenya wa kawaida, kipi kimebadilika na kuboreka baada ya kuandikwa katiba mpya?
1)Ukabila
2)Rushwa
3)Usalama
4)Ajira
5)Upendeleo serikalini
6)Gharama za maisha
7)Upatikanaji wa chakula
8)Matatizo ya ardhi
 
freedom of the press, association and speech
Tunamagazeti na radio nyingi kuliko nchi yoyote Afrika mashariki na kati, tunatovuti kubwa ya mtandao (Jamiiforums) ambayo imekuwepo kwa miaka 13.

Nyinyi tovuti ya mashada serikali yenu iliifunga, sasa nani wa kumfundisha mwenzie kuhusu uhuru wa habari?
 
Tunamagazeti na radio nyingi kuliko nchi yoyote Afrika mashariki na kati, tunatovuti kubwa ya mtatano (Jamiiforums) ambayo imekuwepo kwa miaka 13.

Nyinyi tovuti ya mashada serikali yenu iliifunga, sasa nani wa kumfundisha mwenzie kuhusu uhuru wa habari?
Uhuru wa magazeti si kuwa na magazeti mengi, ni uhuru wa kuandika lolote na usipotee bila kupatikana tena
 
Back
Top Bottom