Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I can definitely tell you that those fascinated by his antics are less than 20%. Kwa Moi tulitoka karne iliyopita
I can definitely tell you that those fascinated by his antics are less than 20%. Kwa Moi tulitoka karne iliyopita
Wanatamani wasiongezwe mishara na kupandishwa madaraja sio?
More free kuiba au unaongelea freedom gani?By the way, Kenya under Moi was more free than TZ under Magufuli.
freedom of the press, association and speechMore free kuiba au unaongelea freedom gani?
Acheni wivu lazima mseme ukweli, angalia wakenya hapa katika hii channel ya Kenya jinsi wanavyompenda Magufuli na kumponda Uhuru Kenyatta. Ninaweza kukuletea video clips kumi za Magufuli na usome "comments" za wakenya, wote wanasema hivi hivi. Wengi hapa ni wivu, japo kimya kimya hata ninyi hapa mnamkubali sana tu.freedom of the press, association and speech
Sijaelewa madhumuni ya huu uzi, maana sidhani kama kuna Mkenya anayeweza kufurahi tukirudi kwenye enzi za giza za rais kuagiza agiza nani akamatwe na nani aachiwe, tangu tupate katiba mpya na nzuri kuzidi zote ukanda wote huu, imekua ndio nguzo na tegemeo letu, hatuishi tena kwa kutegemea matamko na mikwara ya kiongozi wala viongozi.
Hapa
Hapa mafisadi ndani ya KRA wanakamatwa kwa kuzingatia sheria, hatukai kusubiri hadi rais aje aagize agize, kwa Tanzania nimeona kwa hiyo video hata waziri mkuu alikua hajui afanye nini
![]()
From left to right: Sammy Kamuio a director of Samumu Construction Services Limited and tax agents Wilson Ogot Owera, David Osore Wesonga and Rolland Anakaya Chiriswa who were charged for aiding tax evasion in a Mombasa court on September 27, 2019. PHOTO | COURTESY
https://www.nation.co.ke/news/3-tax-agents-charged-VAT-fraud/1056-5290172-eilgugz/index.html
Hiyo katiba si naskia mnataka kubadilisha tena? Punda amechoka[emoji2]
Tunamagazeti na radio nyingi kuliko nchi yoyote Afrika mashariki na kati, tunatovuti kubwa ya mtandao (Jamiiforums) ambayo imekuwepo kwa miaka 13.freedom of the press, association and speech
Uhuru wa magazeti si kuwa na magazeti mengi, ni uhuru wa kuandika lolote na usipotee bila kupatikana tenaTunamagazeti na radio nyingi kuliko nchi yoyote Afrika mashariki na kati, tunatovuti kubwa ya mtatano (Jamiiforums) ambayo imekuwepo kwa miaka 13.
Nyinyi tovuti ya mashada serikali yenu iliifunga, sasa nani wa kumfundisha mwenzie kuhusu uhuru wa habari?