Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

Wakenya watu wa ajabu sana aisee .unaharibu nchi yako kwa sababu ya Kodi?

Machawa wa ccm mmepagawa sana yaani na mziki wa Kenya

Msiogope jomba. Endeleeni kula raha tu kwa Tz bado sana
 
Ukiona mwenzako ananyolewa za kwako weka maji, vuguvugu ndo washafungua dimba.
Hao ni mashoga na wasagaji wanafadhiliwa na watu fulani.huwezi kuharibu nchi yako eti kwa sababu ya Kodi.Hapana aisee
 
Machawa wa ccm mmepagawa sana yaani na mziki wa Kenya

Msiogope jomba. Endeleeni kula raha tu kwa Tz bado sana
Usiige ujinga wa hao wakenya aisee.maana siyo kwa akili ndogo kwa kiasi kile.

Si unaona sisi watanzania wenye akili.tumeamua kufunga maduka yetu tuone Serikali inafanyaje.maana huwezi kunilazimisha kufungua duka langu maana hata mtaji hukunichangia
 
Sababu mojawapo kubwa ya Uingereza kulipoteza koloni la Marekani kwa vita vikubwa mno ni kodi.
 
Machawa mnajamba Jamba sana usiogope bhana kule ni Kenya hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom