Ukiona mwenzako ananyolewa za kwako weka maji, vuguvugu ndo washafungua dimba.
View: https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd
Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi?
Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
Hao ni mashoga na wasagaji wanafadhiliwa na watu fulani.huwezi kuharibu nchi yako eti kwa sababu ya Kodi.Hapana aiseeUkiona mwenzako ananyolewa za kwako weka maji, vuguvugu ndo washafungua dimba.
Usiige ujinga wa hao wakenya aisee.maana siyo kwa akili ndogo kwa kiasi kile.Machawa wa ccm mmepagawa sana yaani na mziki wa Kenya
Msiogope jomba. Endeleeni kula raha tu kwa Tz bado sana
Wanaona kama Bunge lao la machawa linavamiwa keshoMachawa wa ccm mmepagawa sana yaani na mziki wa Kenya
Msiogope jomba. Endeleeni kula raha tu kwa Tz bado sana
Hayo maandamano yamevamiwa na wahuni
View: https://youtu.be/MJapGEmItUY?si=-VeOmElPPZE7ppPd
Yani unaharibu mali za watu ,unachoma ndege ,unachoma ofisi za bunge ,nk Kwa sababu Kodi?
Kwa namna navyo waona si Dhani kama ni afya kuwa nao kama nchi Moja huko mbele kwenye maswala ya EAC
Atakuja Yule wa kizimkazi aanze kuponda suala la Katiba. Sisiemu ni matapeli wa kutupwa.Machawa mnajamba Jamba sana usiogope bhana kule ni Kenya hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe Kodi unaichukuliaje? Kodi ya kichwa uliikuta kweli tuanzie hapo....