Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wawakilishi kutoka Kenya wametinga Zambia kujadili ununuzi wa mahindi kwa maelfu ya tani. Tayari Zambia imetangaza utayari wake kuuza mahindi kwa wingi kwenye soko la Kenya ambalo lipo tayari siku nyingi baada ya kiangazi.

Wakati wengine wananuna na kuishi kimajungu majungu, wenzao wanaona fursa za kibiashara na kuzichangamkia. Wazambia watatengeneza hela kwa kwenda mbele....
--------------------------------------------------------------------------------
A delegation of grain traders and other stakeholders from Kenya is expected in Zambia this week to begin talks on the possible importation of maize, a senior Zambia government official said on Tuesday.

Minister of Finance Felix Mutati said the delegation is expected to hold talks with the Zambian government authorities for the importation of maize into the east African nation.

He told reporters during a press briefing that the delegation has already indicated that the maize is required in August and September this year.

But he could not state the tonnage of maize required, saying it will form part of the discussions.

“However the biggest challenge is how do we transport this maize to Kenya. Is it by rail or road because we will have to find the solutions to these and other challenges,” he said.

The Zambian minister said east Africa has now been identified as a big market for the country’s maize as well as the Democratic Republic of the Congo, adding that the private sector should also explore these markets.

Zambia has produced 3.6 million tonnes of maize during the 2016/2017 farming season and with the country’s consumption estimated at between 1.4 million tonnes and 1.5 million tonnes, the country has excess maize for exports.

The government has since lifted a ban on maize exports to encourage exports.
Coastweek - The most from the coast
 
kazi yako ni kukimbiakimbia kama chura.......

stupid kenyan
 
Na mkapige nazo kona Cape Town au Beira, msituharibie barabara hapa bongo!!
Alafu kumbe kenya kuna njaa?? Duh!
 
jambo njema...akina wale walikataa na mahindi yao...sasa tuone ni nani atakayeumia...wakenya wamepata mahindi mbadala na wao wamebaki na mahindi yao yakiozea kule... ama kweli, wajinga ndio waliwao...niliwaambia mahindi si kama dhahabu...hata afrika nzima ikatae kuuza, tutapata mahindi tu
 
Ndo tushawapiga lock hivyo! Nunueni hata kama ni USA. Kama ni fursa mbona mmezuia gas?:Njaa ikiwakongoli mtakuja tuwauzie jnga maana hamtakuwa na namna
 
Aisee safi sana serikali yetu kutanua hadi huko, yule mngwana asiyewasomesha wazazi sijui atakula mahindi yote ama vipi?[emoji3]
Wazambia ni ndugu zetu toka zamani, si unajua tunaendana kabisa tukianza kujadili hoja tunatiririka kwenye mada through our common unge'nge . Hapo mswahili anaanza kukodoa hajui kinachoendelea, mfyuuuu...
 
Ndo tushawapiga lock hivyo! Nunueni hata kama ni USA. Kama ni fursa mbona mmezuia gas?:Njaa ikiwakongoli mtakuja tuwauzie jnga maana hamtakuwa na namna
mbona mahindi tumepata?? dont let pride make you do things that will harm you in the long run...hivi nikuulize, nani amepoteza sasa kati ya wakenya na watz? mimi nadhani ni nyinyi mmepoteza kwani mngekubali kuuza mahindi, mngepata hela mmekataa na kukubali majivuno na ujeuri uwajae... sasa ndio hio biashara mmempoteza...kenya ishapata mahinddi toka nje...zambia wamepata hela zile..wakulima wao wamefaidika....nyie mmebaki na mahindi yenu yakaozee kule...😀😀😀😀

wakenya=wamepata mahindi
wazambia=wamepata hela
watz=0
 
mbona mahindi tumepata?? dont let pride make you do things that will harm you in the long run...chivi nikuulize, nani amepoteza sasa kati ya wakenya na watz? mimi nadhani ni nyinyi mmepoteza kwani mengekubali kuuza, mngepata hela ila mmekubali majivuno na ujeuri uwajae sasa mmempoteza...kenya ishapata mahinddi toka nje...zambia wamepata hela zile...nyie mmebaki na mahindi ynu takaozee kule...
Ndo hatutaki sasa hizo hela zenu kanunue mahidi hata Brazil mlete kenya
 
Alafu mahindi ya waswahili yana aflatoxins balaa, bora yasiletwe nchini..vitu vya zambia baby[emoji3] , huku mashena ya ukweli yakiingia bandarini toka brazil na mexico..
Firms behind maize import
 
wakenya wote na serikali yao ni wapumbavu sana ....kilichowafanya mzuie gas ni nini......mnajihofia sana na watanzania kwa haya mapinduzi ya kiuchumi sijui kwanini .....nyie kitambo ni watu wa kutukebehi leo mambo yana change mnaleta fitina ila kupindulika kiuchumi hili jambo halizuiliki lazima Tanzania itakuja kuwaongoza tu
poleni sana

stupid kenyan
 
Ndo hatutaki sasa hizo hela zenu kanunue mahidi hata Brazil mlete kenya
ndio umaskini unavoaanza...kubali hata boss wako akutusi ila unajua kile unachovuna toka kwake...ukishapata ulichotarajia mwache sasa....ila nyie naona mnaweka pride kabla ya biashara...na mtabaki maskini hohehahe...kuweni kama wachina...hata watusiwe aje na Marekani, bidhaa zao bado zipo baharini zikielekea bandari za Magharibi.. hivi kesho kesho utaona China ndio ina uchumi mkubwa duniani kote...
 
jambo njema...akina wale walikataa na mahindi yao...sasa tuone ni nani atakayeumia...wakenya wamepata mahindi mbadala na wao wamebaki na mahindi yao yakiozea kule... ama kweli, wajinga ndio waliwao...niliwaambia mahindi si kama dhahabu...hata afrika nzima ikatae kuuza, tutapata mahindi tu
Dawa yenu ni moja tu tuna ban importation of goods from kenya halaf na KQ tunaiban ndo mtaelewa mtapiga makoti tu
 
mbona mahindi tumepata?? dont let pride make you do things that will harm you in the long run...hivi nikuulize, nani amepoteza sasa kati ya wakenya na watz? mimi nadhani ni nyinyi mmepoteza kwani mngekubali kuuza mahindi, mngepata hela mmekataa na kukubali majivuno na ujeuri uwajae... sasa ndio hio biashara mmempoteza...kenya ishapata mahinddi toka nje...zambia wamepata hela zile..wakulima wao wamefaidika....nyie mmebaki na mahindi yenu yakaozee kule...😀😀😀😀

wakenya=wamepata mahindi
wazambia=wamepata hela
watz=0
hatuwategemei kuwauzia nyie .
.pekee........hapo mlipo mnakula unga toka tz[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom