Kwani wewe mku ushazisoma ngapiYani leo mkuu umeamka na wasafi..huu uzi wangap?[emoji3]
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Jamaa kaisha limebaki jina tuNimesikitishwa sana, sio kwa comments za wakenya bali kwa muwakilishi tunayemtegemea kwenye mziki kimataifa kufanya show mbovu,iliokosa maadili kama ile. Jamaa kafikia hatua anakatika jukwaani wanawake Wanamchezea matako!!
Personally ameniangusha sana.
Kweli anguko likianza kukunyemelea mambo yanaanza kuwa hovyo hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao team keroro tu watakuaKatika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi zaidi tazama maoni ya baadhi ya mashabiki wa WCB waliyoyatoa kupitia mtandao wa twitterView attachment 983460
These are not KenyansKatika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi zaidi tazama maoni ya baadhi ya mashabiki wa WCB waliyoyatoa kupitia mtandao wa twitterView attachment 983460