Sawa mcanadaGuys ni kweli, hata ndugu zetu Marekani na Canada alikokwenda Diamond ku-perform wanalalamika kuwa jamaa kaishiwa....hana jipya na kuimba hajuwi. Wanashangaa kwanini walilipa kwenda kumuona, wanajutia hela zao.
WABONGO NDIO WAMEKOMALIA HIZO TWEETS TANOWa
WakeNya nao timu kiba? Bas kiba hafai hahahaha
Katika mtandao wa Twitter, raia wa Kenya na mashabiki AA Muziki wa Bongo Fleva wamekerwa na show ya Wasafi Festival iliyofanywa na Diamond na timu yake siku za hivi Karibuni nchi Kenya. Sina mengi zaidi tazama maoni ya baadhi ya mashabiki wa WCB waliyoyatoa kupitia mtandao wa twitterView attachment 983460
Hana huo ubavu sauti kama ya Bi chau ataweza wapi sasaajifunze live music, bado kijana, dunia inabadilika sana
safi sana...awe na band yake wafanye rehearsal Mara tatu kwa wiki....ajifunze live music, bado kijana, dunia inabadilika sana
The last leg tour of the inaugural Wasafi Festival held at Uhuru Gardens on Monday night failed to live up to its hype and buzz.
The horrible performances by artistes who took to stage dampened the excitement of New Year eve. The only thing that met expectations was the stage setup, the VVIP and VIP lounges and the décor.
The Wasafi camp of Lava lava, Queen Darling, Mbosso Khan, Rayvanny, Harmonize and Diamond Platnumz failed to impress the crowd with their play back music performances.
Even Mbosso of the ‘Hodari’ and ‘Nadekezwa’ fame couldn’t thrill revelers despite sending majority of them-ladies into screams when he set foot on stage.
Lava Lava had a bizarre moment on stage when female fans stretched out their hands to pull down his and grab his genitals. He seemed to enjoy the brief encounter before backing off.
https://twitter.com/Opta_KOT/status/1079953698099523584
Harmonize, who donned a costume themed on the Kenyan flag, performed more like a hype man rather than a musician. He quickly drew the ire of the crowd when he described Kenyans as being poor.
“Jamani wajua Wakenya ni maskini wenzangu sababu wote tuna hustle. Wakenya nawapenda nyinyi ni maskini kama mimi na tunatafuta wote hivyo tufurahieni wote.”
His remarks angered the crowd, especially those in the VVIP section who had paid Sh15, 000 for tickets. He was booed and had to play it cool, diverting their anger with his ‘kwangwaru’ song
The boring night was rescued by reggae group Morgan Heritage who gave a brilliant performance. Even Diamond Platnumz, who was the last to take on stage, couldn’t rival their performance despite perfoming longer.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndo hivyo watu washapiga ela
We !! konki wanamtumia tuu hapa bongo mchangani, Kenye ataenda kufanya nini lisauti linakwaruza kama bikipiki iliyokatwa eksosi? yule alipata umaarufu wakati jamii ilikuwa haijaamka kifupi sii mwanamuziki na hao fistifo wanamtumia kwa muda baadaye wanamfekelea mbali, sasa lenyewe badala ya kuweka akiba na kuandaa mtaji kuepuka kulala bar, ndio kwanza limekusanya watoto nakuanza kuzunguka nao kwenye ma clabu kutumbua maisha
Nakumbuka huyu dogo ameanza kutabiriwa anguko tokea anatoa ule wimbo aliomshirikisha Davido, let's hope that this time around "people's" wishes will be granted.Nimesikitishwa sana, sio kwa comments za wakenya bali kwa muwakilishi tunayemtegemea kwenye mziki kimataifa kufanya show mbovu,iliokosa maadili kama ile. Jamaa kafikia hatua anakatika jukwaani wanawake Wanamchezea matako!!
Personally ameniangusha sana.
Kweli anguko likianza kukunyemelea mambo yanaanza kuwa hovyo hovyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Piga keleleeee,haya tuimbe pamoja,jamani siwasikiii haya piga kelelee..
Yaani Mimi nimelipa hela yangu halafu unaniambia nipige kelele,yaani unaniambia niimbe wakati wewe ndo mwanamuzuki,na nimelipa hela nikuone wewe ukiimba live!!..
Wasafi anzeni kufanya mazoezi ya live show,play back zilishapitwa na wakati..