joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya wanaendelea kuikimbia nchi yao kwa udi na uvumba ili kuepuka njaa nchini mwao, hivyo wengine kujikuta wakiuzwa kwa waarabu kama watumwa na kubakwa.
Kama tafiti zinavyoonyesha kwamba wakenya wanaongoza kwa kuichukia nchi yao na wengi kuamua kutumia kila jitihada kutoroka nchi yao. Wakati huo huo wageni na familia teule zikiendele kujitajirisha na kumiliki ardhi yoote yenye rutuba.