mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Kama Wakenya wanatoroka Nchi Yao na omba omba wenu wanafurika KENYA, je Ni Nchi gani Kati ya Tz na Kenya Ina Hali mbaya ya maisha? Masikini Mtanzania anakimbilia kwa masikini Mkenya naye Mkenya anakimbilia ulaya, kea hivo Kenya kwa Mtanzania Ni ulaya...period. 😂😂😂😂Hahahaha, jaribuni kurekebisha uchumi wenu, vinginevyo mtaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yenu(chini ya wazungu), na nje ya nchi yenu(chini wa waarabu).