joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Lakini walivyo wajinga, wanasifia matajiri wachache ambao hawafiki hata elfu kumi na kuwasahau hawa milioni 45 ambao wanateseka. Utasikia wakisema " Kenya yaongoza kwa matajiri ", hutosikia wakisema " Kenya yaongoza kwa kuuza watumwa".Uzuri na ubaya wa Kenya tajiri ni tajiri kweli na masikini ni masikini kweli na ndio 80% wako nyanβganyanβga, chali, kifo cha mende
Wakenya wanaendelea kuikimbia nchi yao kwa udi na uvumba ili kuepuka njaa nchini mwao, hivyo wengine kujikuta wakiuzwa kwa waarabu kama watumwa na kubakwa.
Kama tafiti zinavyoonyesha kwamba wakenya wanaongoza kwa kuichukia nchi yao na wengi kuamua kutumia kila jitihada kutoroka nchi yao. Wakati huo huo wageni na familia teule zikiendele kujitajirisha na kumiliki ardhi yoote yenye rutuba.
MK254 na yule Tony254 wawe makini sana wasije wakauzwa kwa bwenyenye la kiarab wakatumikishwa
Njaa na shida kaka, hivi umeshafika Kenya ukaona jinsi hali ya maisha ilivyo?, hakuna opportunities za ajira hasa kwa jamii za chini kama hizi za pwani, wakikuyu wameshikilia biashara, wanotoa ajira kwa wakikuyu wenzao tu. Serikali 85% ya mawaziri na makatibu wakuu ni wakikuyu na wakalenjin, wanaajiri kabila zao tu, haya makabila mengine hayana jinsi, zaidi ya kuwa slaves. Ni shida sana Kenya.Hawa Waarabu wana miroho mibaya ila hawaelewi wakiambiwa.
Waarabu sio watu hawa oohooooo!!!!
Unakubalije kubebwa kizembe namna hii hata huna uhakika uendako!!!?
Bullshit.
Tony ni shoga linauza tako wa wazungu lenyewe linasema limejikwamua lipo ulaya labda huyu mk254 atakuwa mtumwa huko arabuniMK254 na yule Tony254 wawe makini sana wasije wakauzwa kwa bwenyenye la kiarab wakatumikishwa
Ukienda gulf, wafanyakazi wote wa ndani wa kiafrika 90% ni wakenya na inayobaki ni waghana, ukiangalia video za wasanii YouTube ukakutana na comment, oooh sijui am a Kenyan watching from Dubai and bla bla jua huyo beki 3 wa muarabu kaiba simu ya boss wake
Wanachapika ile mbaya huko, kuna mdada mmoja wa kikenya aliunguzwa mwili mzima na boss wake wa kiarabu kwa moto, karudi maiti, mwenyeji wa Mijikenda lakini bado hawakomi kwenda.
πππ Hawana cha kujitetea, huwezi waona, ukweli unauma.Hii ni kweli kabisa wengi wanapenda kwenda kufanya kazi gulf,
Pamoja na kuteswa huwa hawakomi.
Alafu mbona huu uzi wameususa [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] Hawana cha kujitetea, huwezi waona, ukweli unauma.
πππ English nyingi kumbe msugua masafuria[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] English nyingi kumbe msugua masafuria
Hahahaha, jaribuni kurekebisha uchumi wenu, vinginevyo mtaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yenu(chini ya wazungu), na nje ya nchi yenu(chini wa waarabu).Kujeni muone mbwa zoote zinangangania mifupa