Kama Wakenya wanatoroka Nchi Yao na omba omba wenu wanafurika KENYA, je Ni Nchi gani Kati ya Tz na Kenya Ina Hali mbaya ya maisha? Masikini Mtanzania anakimbilia kwa masikini Mkenya naye Mkenya anakimbilia ulaya, kea hivo Kenya kwa Mtanzania Ni ulaya...period. 😂😂😂😂Hahahaha, jaribuni kurekebisha uchumi wenu, vinginevyo mtaendelea kuwa watumwa ndani ya nchi yenu(chini ya wazungu), na nje ya nchi yenu(chini wa waarabu).
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anakuja mjinga mmoja
Eti Tanzania Kuna njaa
Tanzania ikiwa na Njaa kenya
Kutakuwa na Kiumbe Kina pumua!!
Kama Wakenya wanatoroka Nchi Yao na omba omba wenu wanafurika KENYA, je Ni Nchi gani Kati ya Tz na Kenya Ina Hali mbaya ya maisha? Masikini Mtanzania anakimbilia kwa masikini Mkenya naye Mkenya anakimbilia ulaya, kea hivo Kenya kwa Mtanzania Ni ulaya...period. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watanzania hua napenda wanavyowaponda wakenyaUzuri na ubaya wa Kenya tajiri ni tajiri kweli na masikini ni masikini kweli na ndio 80% wako nyan’ganyan’ga, chali, kifo cha mende
Achana naye huko, huku wanatoroka ombaomba kwasababu wamepigwa matufuku kisheria, kwao wanatoroka watu wazima wenye nguvu kwa kupenda wenyewe kwenda kuwa slaves. That it what is known as a failed state.Kila mkenya mwenye akili timamu anafahamu wale omba omba ni mradi wa wakenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila kwa sababu unabishana ili ushinde argument lazima uweke ushabiki Maandazi.
Achana naye huko, huku wanatoroka ombaomba kwasababu wamepigwa matufuku kisheria, kwao wanatoroka watu wazima wenye nguvu kwa kupenda wenyewe kwenda kuwa slaves. That it what is known as a failed state.
Ligi ya Kenya na Tanzania ni tamu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watanzania hua napenda wanavyowaponda wakenya
Wewe ni wa nchi gani?Ligi ya Kenya na Tanzania ni tamu sana
GOD HAVE MERCY ON THE POOR AND ASSIST THEM.
Bongo TzWewe ni wa nchi gani?
Ulishawahi kufika Kenya?Bongo Tz