Wakenya wazidi kuonja joto ya jiwe chini ya JPM.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Posts
8,925
Reaction score
14,890
Hii ni ndani ya muda mfupi sana, matukio haya yanayoihusu Kenya na Tanzania ndio yanapelekea uhusiano {uliokuwa wa kishenzi} uzidi kudorora, wafanyabiashara hawa wa Kenya hawampendi kabisa JPM kutokana na kuweka mazingira magumu yanayowafanya wafilisike kila wanapojaribu kwenda kimazoea





 
Aisee, basi walikuwa wanazibeba za kutosha
 

shamba la bibi sasa limepata mjomba.inawezekana hata chuki wanazo leta kenya ni biashara ambazo sasa zimegoma
 
Hatari tunashukuru wamekamatwa,lakini la kujiuliza,mpaka wanafika border huko sehemu nyingine walipita vipi?rushwa bado ni kubwa sana,
Yaani hawa washenzi kwanza inabidi mali waliyokamatwa nayo,itaifishwe,madini na magari.
Pili wapigwe kifungo cha miaka 30,na faini juu,faini iwe asilimia 500 ya thamani ya madini
 
Hawa waliokamatwa ni wadogo sana kwenye Hii chain, wakubwa wao ni wavaao nguo za kijani. kukulacho ki nguoni mwako.
 
Wenye wangekamatwa ni wanafisiem ambao wamaliza nchi.
 
Mabwenyenye wapo Serikalini CCM, hao ndio wanaitafuna Nchi yenu.
Tanzania na Kenya ni tofauti sana, wakati Tanzania wanasiasa wanakatazwa kuwa wafanyabiashara na kuwa matajiri wa kupindukia, Kenya ni kinyume chake. Ili iweze kuwa mwanasiasa lazima uwe fisadi mkubwa, au ukishachaguliwa lazima uwe fisadi ili uweze kuendesha uongozi wako.
 
Mnakamata vidagaa ambavyo vinabeba kwa mifuko kwa ushrikiano wa Watanzania.
Siku mtakamata papa wa Kiarabu na Wahindi na Wazungu ambao wameitafuna hiyo nchi yenu tangu jadi, ndio siku nitakubali mumeanza kupata muamko mpya na mtatoka kwenye umaskini.
Lakini hadi hiyo siku ifike, mtaendelea na hizi show za PR
 
Hivi wale waarabu waliokamatwa kule Mwanza na Kilo 30 za dhahabu, na wale wachina waliokamatwa na pembe 700 za ndovu wakafungwa miaka 30, na yule bibi wa kichina aliyefungwa miaka 15, wote hao ni waafrica wadogo?.

Hivi kwa akili zenu, hayo madini ya kiwango hicho unadhani hao watanzania ni yao?, hao wametumwa kuyavukisha mpaka, wahusika wapo hapo Nairobi, ambapo ndio pori la kujificha. Ukifika Nairobi hakuna polisi anaweza kama mfanyabiashara yoyote mwenye madini ya thamani kubwa kiasi hicho, muhimu sio rangi ya mfanyabiashara, muhimu ni madini hasa yenye thamani kubwa kukamatwa, Kenya haiwezi tokea kukamata mzigo mkubwa kiasi hiki.
 
Uelewa wako ni finyu Kama kawaida. Wewe kwa akili zako za kutafunia makande unafikiri wanaosafirisha hayo madini wanakubaliwa kivipi kuingia Mererani? SI jiwe alijenga ukuta humo kuwazuia watu Kama hao? Vipi Sasa unapata madini bado yanatoka Kama sio nyinyi wenyewe mnaowasaidia Hawa watu kuiba Nchi yenu?

Nyinyi ndio wezi wakubwa wa raslimali zenu kwa hivyo usipige kelele Kenya pigia Watanzania wenzako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…